Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Sijui hata nimuhurumie au nikae kimya! Sikutaka kucoment bila kuangalia hizo clip na nimeziona kiukweli nimeingiwa na ubaridi aisee!
 
Anachokifanya amber ruthy ni usanii, hapo anataka aje ajitetee kuwa nati zake zilikuwepo ila waliompima ndio wamezikongoroa. anasahau alishakiri kuwa video zile ni zake na radhi akaomba.
 
Nilijua mji wa Maputo msumbuji unapimwa mipango miji kumbe ni upuuzi wa viwonder
 
Hahahaaaa mzee kuinikwa umenikumbusha mbali sana... Wewe ni wa kumwitu full kupongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…