YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 972
Jaman beibe nasty ulivyosema "si kupenda kwangu" nimejisikia huzuni, kwamba isingekuwa ubize wako hadi leo ungekuwa na Judgement si ndio? Ila usijali nitamtunza vizuri sana. Nashukuru kwa wosia wa uvumilivu, nitautekeleza.
Last edited by a moderator: