Cht Cht Sanaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cht Cht Sanaa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Aug 14, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ni siku ya J'3 asubuhi niko mahakamani, ambapo nasubiri JUDGEMENT ya kaka yangu.
  Aidha hapa nimesindikizwa na my wife BEIBE NASTY na members wa Jf ninaowakumbuka ni MTALINGOLO, ERICKB52, NICAS MTEI, RUHAZWE JR. PLATOZOOM, MADAME B na YNNAH.

  Namshukuru Mungu hakimu huyu alikua yu MTAMBUZI mzuri kwa haki , alitoa hukumu na ndg yangu kutokukutwa na hatia nakumbuka jina lake moja tu RUTTASHOBOLWA. Wakili wa mashtaka aliyekua na kiherehere niliemfahamu kwa jina la BISHANGA hakuonesha kufurahia ushindi wetu, nilimcheka kwa KIJINO pembe wakati twatoka kotini.

  Aidha nawashkuru mawakili wetu wawili upande wa utetezi dada CATHERINE na mwenzake simkumbuki jina bali kutokana na ucheshi wake pale kotini mie na wife tulimwita CHARMINGLADY.
  Tukiwa WATU8 kwa pamoja tunatoka kotini tukiwa na nyuso zenye SMILE, tunaelekea kwenye kijimini'bus chetu.

  Hakika kesi ya ndg yangu huyu ingepelekea akafungwa, huenda ningekua MENTOR ! Kwani ndiye THE SECRETARY kwa shughuli zangu zote akisaidiwa na my young sister REMMY sina sababu ya kutofurahi MTU CHAKE bwanaa!

  On the way back hom dreva wetu YOUNG_MASTER alikua amefungulia nyimbo ya mwanamuziki nguli midle east UMMU KULTHUM ikanifanya nimkumbuke MWANAKIJIJI mwenzangu tutokae same village KAKAKIIZA kwani nae alikua shabiki wa nyimbo hizo.
  Tupo KAUNGA street ambapo namwambia dereva wetu apitie CASICO cafee opposite na EROTICA boutique ambako nilihitaji kununua BAGAH na BOFLO kadhaa.

  Njiani napata msg's toka Jf members kunipongeza ushindi msg kadhaa nilipata toka MAMNDENYI, KAIZER, TANMO, ZUBEDAYO MCHUZI, NEY KUSH, MEASKRON,SAIT IVUGA, PRETA, GFSONWIN, YUMMY, MANYANZA na SWEETLADY.

  Kinachofata naandaa sherehe maalum ktk ukumbi wa PRINCESS ENNY uliopo jirani na LILY FLOWER supermarket, pia naunda kamati ndogo chini ya uenyekiti wa Da' KIPIPI kuratibu sherehe hii, ikiwa na wajumbe VIN DIESEL, NDETICHIA, SMILING SAINT, FIRSTLADY 1, THE FINANCE, THE BOSS, MR.ROCKY na ZINDUNA.
  Muda wa kwenda ukumbini unawadia my wife ametoka kwatu yaani she's so CUTE inanifanya nikumbuke kipindi akiwa MWALI, nami nimekwenda kwa suti ambayo naiamini ndiyo KING'ASTI kuliko suti zangu zote.

  Kwa kua nahitaji mambo yote yawe EXCELLENT kabla hatujaondoka hom nampigia M/kiti kamati a'NITONYE kama issue zinaenda kama zilivyopangwa.
  Njiani kuelekea ukumbini napata simu toka BABA V akiniomba excuse kua hatohudhuria coz MALARIA SUGU inamsumbua na mda huo ashapiga ASPIRIN na KLOROKWINI kadhaa.
  Ile nakata simu taharuki tupate ajali , dreva wetu alikua akimkwepa PAKA MWEUSI aliyekatiza barabara ghafla, tukio hilo likanifanya nidhani dreva wetu huenda alishapata TUSKER BARIIIDI, au POMBE KALI.
  Ikanilazimu nimuulize kama alistua kidogo akanijibu (namnukuu) "mkuu mie nilisha'BADILI TABIA sinywi siku hizi, zamani nilikua nakunywa sana VODKA kisha ikaniletea madhara nikaenda kupimwa pale SCOFIED hospital nikakutwa KONGOSHO yangu imekua affected nikaacha" (mwisho nukuu).

  WAKATI NDIO SASA tunafika ukumbini, hapa tunapofanyia sherehe ni NYUMBA KUBWA sana, hata hivyo SPIKA zirindimavyo ukumbini jengo zima kama lina'vibrate hivi!,
  Persnal secretary wangu ndiyo yuko mlangoni kupokea wageni, namshangaa leo kumuona anachekacheka ambavyo si kawaida yake, sijawahi muona hivi hapo kabla kiasi wenzake walimwita EVERSMILIN GAL! Hata hivyo kwakua ni MTOTO WA MJINI nadhani ndiyo mana wamempanga sehemu hii, akisaidiwa na mabaunsa wawili niliyowasikia kwa majina ya STEVO na ZOMBA.

  Mnamo saa 8 usiku sherehe ilitamatika na kurejea kila mtu kwake, ambapo by saa 9 hivi mi na wife tunafika hom tumechoka tunapanda KITANDANI KWETU kulala.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  Waaaaalaaahhhhhh nimeipenda hii....

  Roulette please njoo ugonge like yako ya 5000 hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Weeeh, hiyo simu labda alipiga Bishanga,naskia amenunua mtambo kutoka Israel, ila huyo CASICO wako,!? jiandae kutoa maelezo kwa CACICO
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  habari Judgy?

  Naona msimu wa kutajana umeshamiri kila kona.

  Wasalimie Igoma.
   
 5. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tutajane basi
   
 6. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Shem langu full maubunifu......... Wapi beibe nasty sasa?.
   
 7. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli hapa ndugu yetu kaonesha ubunifu wa hali ya juu... but sikutajwa mimi...
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Poa Mkuu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Zimefika, nawe wasalimie kwa Mtogole .
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  BN tenaa!
  Unauliza vumbi stoo ?
  Pembenimwe hapa! Ana pripea daku .
   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mkuu ROULETTE sijamisahaueni ! Namikumbukeni sana!
  Bt hii ilikua imeandaliwa kwa Ordinary members!
  Yenu ya viongozi iko kitchen .
   
 12. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  natamani nikufate kila mahali. Teh teh!
   
 13. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mapenzi moto moto shem, ingekuwa kwenye real life ni hivyo dunia ingekuwa kama peponi. Mpe hi kwa sana..
   
 14. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Judgement I Love youuu!!
  Missing youuu!!
  I like your story,whch u tell us.
  Karibu kwetu Kijiweni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yuko jikoni anamrosti Kuku, namwita sitingroom hata haskii !
  Vinginevyo niseme "To fear love is to fear life" then
  " A bachelor is one enjoy the chase but not the game!"
  tusipofurahia hapa , ahera hakueleweki !
   
 16. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uncle Judgement we mbunifu aminia msalimie aunt BN
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah!kaka umetokelezea ile mbaya,...yaani hili ni bonge la funiko,sina swali,bila shaka pongezi zako nazipeleka moja kwa moja kwa sabuni wako wa malavidavi mpenda kikojoleo si mwingine ni beibe nasty salute kaka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmh?????
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Thanks Madame B!
  Accept my wills to you that,
  Be your own friend and others will be friend you!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Thanks Bibie , greetin zako mefikisha! Kwa BN!
   
Loading...