si kupenda kwangu!!!!!!

si kupenda kwangu!!!!!!

heheheheh ama kweli nilipitwa aisee... naahidi kusoma magazeti yoooooote hadi ninyake news zote nilizozikosa


Si unaona BT ! Namna ulivyokua msununu now dayz!
Unamana hata magazeti husomi? Coz tulianaus magazeti kwa magazeti!
Radio lukuki! Mbao zote za matangazo!
Niko tuliii, mwana wa mwanamke mwenzio, najisosolea finyango kiulaiiyynii.
Kunyanzi za moyo zote tupa kulee!
 
habari humu jamvini nimetokea kufurahishwa sana na uamuzi wa my ex husband kuwa amepata jiko jipya kwa moyo mkunjufu kabisa Ynnah karibu ktk ulimwengu wa malovee na bwana judgement ila tuu kua muangalifu coz ndoa ni uvumilivu..........
nahisi sasa my sister and my shost Charming Lady umeridhika sasa kuwa nimepata taarifa.
Angalizo: bado sijarudi rasmi maana kuna majukumu ya menkaba but nimewamis Arusha One, Erickb52, Babu Aspirin, mentor my bro my Dad watu8, kipipi my sis and others 🙂

Usijali mdogo angu, huo ulikuwa upepo tu na ushapita.... Haya kuya tusongeshe gurudumu la maisha ya CC...

Afu kuya PM one time unipemo nambari za kilongalonga chako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom