Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

Kwann uandamane bila kibali na CHADEMA uwa wanajinadi wanafuata utawala wa sheria? Inamaana hakuna njia mbadala hadi waandamane....OK yule diwani aliyekatwa mapanga unailamu VP polisi au CCM wao wamefanya nn? Tusiishi kwa dhana cz km tukienda kwa dhana CHADEMA wanalo la kujibu juu ya kifo cha CHACHA wangwe hadi Leo kimya....dhana zipuuzwe utaratibu ufuatwe...
Ijumaa SAA 12:30 jioni CHADEMA hawana utambulisho Wa mawakala, Mkurugenzi kazima simu. Huo mjadala ungeanzishwa SAA ngapi? Nachelea kutoa neno linalokusitahili maana utasema umetukanwa.
 
Baada ya kulazimisha nakuandamana ili kuchukua hizo form wamepata faida gani? Kwanini wasingetumia Busara ya kawaida tu.
Wewe ni msomi tena Wa PhD maana PhD za Tanzania ndo ziko hivi!!
 
Ijumaa SAA 12:30 jioni CHADEMA hawana utambulisho Wa mawakala, Mkurugenzi kazima simu. Huo mjadala ungeanzishwa SAA ngapi? Nachelea kutoa neno linalokusitahili maana utasema umetukanwa.
Inawezekana kweli hawakupewa utambulisho...
1.inawezekana hawakuwa na sifa
2.labda hawakufuata taratibu zilizotakiwa
Mimi na wewe tunasoma kwenye mitandao kauli za viongozi hatujui nyuma ya pazia kunani...
Unajuwaje may be ni trick kupata kick ? Think out of the box.....mi form IV nawaza nje ya box VP we msomi?
Mbona siha walipewa y kinondoni?
 
Jamii forum naamini ni platform inayotumiwa na wasomi kutoa mawazo yao kuliko sehemu yoyote ile.

Sisi wengine tunadandia tu ingawa ni haki yetu..BT wengi humu ni graduate+ wachache sana, sisi wa form IV na STD7 wachache.. Kinachonishangaza ni kwann kila jambo wakifanya CHADEMA hata kama sio sahihi linasapotiwa sana. Na yeyote atakayetoa mawazo mbadala atatukanwa na kukejeliwa sana..

Hii tafsiri yake nini?

Ukitoa mada kuhusu CCM ni kejeli tupu hata km ni jambo jema. Kwangu Mimi hii haiko sawa. Kila upande unafanya makosa kwa namna yake. Pia makosa ya wengine wasibebeshwe wengine. MTU anasema hao CCM wanaua...hii si kweli sababu kama kosa limefanywa na dola yaani polisi chama kinausikaje...?

Tusikilize mawazo ya wengine sio kukashifu kwa kejeli....
Ni wakiua Wana CDM tuwaimbie mapambio sio eh
 
Naomba nikuweke sawa,waliopo wengi jamii forum ni std 7 pamoja na form 4. pili unavozungumzia dola unatakiwa kujua dola inaongozwa na chama gani ndio utajua kwann watu wanailamu ccm kwa kila kosa linalofanywa na dola.
Wewe peke yako ndo hujaenda shule so usigeneralize. Humu kuna watu tumekata kitabu sababu hakuna utakachouliza humu kikakosa jibu sahihi. Ndo maana naungana mkono na aliyesema wengi humu ni wasomi wazuri
 
Sina fact juu idadi ya member jamii forum ni wa elimu gani BT kwa mda nilionao humu nikisoma comments nahisi wengi ni wasomi graduate+...km usemalo ndio iko hivyo thanks kwa kunielewesha....then km unawalaumu CCM unawaacha VP CHADEMA chanzo cha hizo mambo?
Jf ina member zaidi ya laki9 so ni idadi kubwa sana watu
 
Inawezekana kweli hawakupewa utambulisho...
1.inawezekana hawakuwa na sifa
2.labda hawakufuata taratibu zilizotakiwa
Mimi na wewe tunasoma kwenye mitandao kauli za viongozi hatujui nyuma ya pazia kunani...
Unajuwaje may be ni trick kupata kick ? Think out of the box.....mi form IV nawaza nje ya box VP we msomi?
Mbona siha walipewa y kinondoni?

Acha utoto we dogo, kukosa sifa na kutofuata taratibu iwe mara zote ni kwa cdm tu? Mawakala na hata vyama vyote vina watu wenye uelewa karibu sawa, iweje hayo makosa yasiwe chama kingine bali cdm tu? Ok tuchukulie huu upuuzi unaoongea ni kweli, ni kipi kiliwafanya waapishwe usiku baada ya maandamano? Hizo sifa na kufuata taratibu kuliwezekana baada ya maandamano? Unadhani sisi kusoma kwenye mitandao hatuna akili ya kuchambua mambo bali viongozi ndio wenye uwezo huo. Umekuja na uzi wa kutaka kuweka rekodi sawa, lakini naona unaongea upuuzi tu.
 
Kuongoza dola kwa njia za kumwaga damu na kupora ushindi hata Iddi Amini alifanya.
Uchaguzi wa 2015 ndio uchaguzi uliingiza ccm madarakani na kushika dola...thibitisha ilo usemalo lilitokea wapi na kwa namna gan?
 
Uchaguzi wa 2015 ndio uchaguzi uliingiza ccm madarakani na kushika dola...thibitisha ilo usemalo lilitokea wapi na kwa namna gan?

Kwa mfumo uliopo ni lazima ccm itashinda kihalali na isivyo halali. Ingekuwa uwanja wa uchaguzi uko sawa hapo ndio ungeweza kutokea hapa na kutamba na sio kinyume chake.
 
Kwa mfumo uliopo ni lazima ccm itashinda kihalali na isivyo halali. Ingekuwa uwanja wa uchaguzi uko sawa hapo ndio ungeweza kutokea hapa na kutamba na sio kinyume chake.
Km ndani ya chadema viongozi wanahubiri democracy ..wameshindwa kuweka usawa kwa 100% VP wakipewa nchi wataweza...mbowe mwenyekiti mda mrefu inamaana wengine hawapo? Na ukijitokeza kumpinga unaundiwa zengwe unafukuzwa...
 
Kuna tofauti gani na ccm iliyokaa madarakani muda wote na watu wakitokea kuipinga ndio hao wanaishia kupigwa risasi mchana kweupe? Bora ingekaa madarakani kwa kufua demokrasia, lakini inatumia vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kuendelea kukaa madarakani kinyume na matakwa ya umma, sasa hapa una kipi cha kujivunia?
 
Kwanza fafanua# jamaa yenu unamaanisha nni ok# then sheria ya vyombo vya habari inasemaje ...(jinsi vyombo ya habari vinavyotakiwa kufanya) fafanua then connect na ITV ili tujue km wameonewa au vp
Mkuu ungemuuliza unapoomba radhi maana yake nini?
 
Hao wanaoitwa wasomi wa Jf wengi ni mambumbumbu tu, hawanaga hoja zaidi ya matusi na balaaa zaidi wanachangia hoja wakiwa na njaa, wasomi huwa wanajadili hoja na sio kujadili mtu, watu au kikundi cha watu na matukio, wasomi gani wasiojua kua mtu au taasisi fulani haiwezi kutenda mema tu au mabaya tu? Wasomi gani kazi kulalamika kila uitwao leo? Wasomi wasioweza kutatua jambo zaidi ya kulialia? Kiukweli Jf imejaa vijana wasiotumia akili au hata akili zao kufikiri kisomi, kuandika facts na kuzichambua kisayansi...Wamiliki na hao watumishi nao wa hii Jf wanaonekana nao kama kina Mange Kimambi, kazi yao kuacha mijadala ya upande mmoja, mijadala inayoshambulia na kutukana Serikali na CCM, mijadala inayokashifu Uislam na Viongozi wake ndio wanayopenda kuiona....Hapa Jf nipo tu kwasababu sina mahala pengine pakujadili mambo kiuhalisia.
 
Sikia ndugu....kutoka nje ya mada haimanishi sio msomi...wengi humu wasomi mkuu...then km CHADEMA wanapaswa kulaumiwa kwann MTU akitoa hoja anatukanwa?

Msomi gani anatoka nje ya mada katika majadiliano? Sasa mtaelewana nini? Atazungumzia nini? Huyo si msomi bali alihudhuria tu shule
 
Back
Top Bottom