tunarudi nyuma kidoho... hivi unazijua njia za kutatua mgogoro?? ways of problem solving?? lazima ujue tatizo ndio ujue nani alio kosea. Kwa kifupi CDM waliandamana wakiwa na sababu zao binafsi ikiwemo kuchelewesha kwa barua za kiapo kwa mawakala wao wa uchaguzi. Pia watu wanawalaumu polisi kwa kutumia nguvu kubwa kuzuia maandamano hali iliyopelekea kujeruhiwa kwa watu pamoja na kifo cha mwanafunzi. Ushauri wangu mimi naona busara zingetumika kwa rais kukaa meza moja ya majadiliano na CDM ili kujua wanataka nini. Lasivyo huko tunakoenda ni kubaya zaidi ya hapa tulipo sasa maana hakuna jambo baya kama chuki, watanzania tunasifiwa kuwa na amani lkn sisi tunachuki siku watu wakipata pakuanzia ndio utakuja kuyamaani maneno yangu.