Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,792
Mi nina swali moja tu, kwa mfano ikitokea kuna mtu amebakwa, je huyu mbakaji anastahili kuhukumiwa au tutafuta sababu kwa nini alibaka?kama ni msomaji wa comment utagundua watu wengi huwa wanachangia nje ya mada hii inatikana na uelewa mdogo juu ya mada (elimu). Chadema nao wanastahili lawama kwa upande flani lkn kabla ya kuwalaumu unatakiwa kujua sababu ya wao kuwa chanzo cha matatizo.