Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Marahaaaaaaaaaba Kwnza Leo Ulikuwa Wapi Cjakutia Machoni
Leo nilitingwaje mie, si unajua wkend zina visa. nilikuwa nachungulia kidogoooo jf:wacko: . mzima wewe lakini???????
Marahaaaaaaaaaba Kwnza Leo Ulikuwa Wapi Cjakutia Machoni
Leo nilitingwaje mie, si unajua wkend zina visa. nilikuwa nachungulia kidogoooo jf:wacko: . mzima wewe lakini???????
My hapana chezea wanawake kabisaa.
Kwa kweli wadau sio kila mwanamke anaevaa sketi basi anapaswa kuolewa .
Wanawake wa kipindi hiki wamekua wabinafsi wanaojijali wenyewe na familia zao tuh yaan mama , baba yake au wadogo zake tuh . Na kutowajali ndugu wa upande wa mume wake . Hivyo kupata mke mwema ktk dunia ya sasa ni vigumu sana na kama mwanaume hautomtosheleza kimahitaji huyo mkeo basi ujue utaibiwa tuh maana atatafuta mbinu mbadala ili atimize hitaji lake .
Naomba kuwakilisha wana JF.
Jestina tatizo lilopo kipindi hiki wanawake wamekua wanapenda pesa yaan hamna penzi la kweli na tatizo lililopo ni kwamba wamekua na ubinfsi wa kupendelea kwao tuh na ndugu zake
Munajifariji tu. mwanamke ni kijundudu ambacho kipo kipo tu kwenye jamii wala hakijui kinatoka wapi?? kinakwenda wapi???
Haya tena kumekucha....hakika nimeamini wanawake ni jeshi kubwa maana hii vita dhidi yetu ni kubwa mno...
Munajifariji tu. mwanamke ni kijundudu ambacho kipo kipo tu kwenye jamii wala hakijui kinatoka wapi?? kinakwenda wapi???
Pole Shy land kwamba nawe ni muhanga wa uvivu na uzembe. Na nyie ndo mnaoendelea kutuletea shida hapa dunian lol
wakati naandika ile comment nilijua tu, hamtakosekana watu wakunizodoa, kama kweli munajiamini kwa nini unahitaji kudhaminiwa na kupewa maneno mazuri kutoka kwa me!
tabiya ya yoyote sawa isikupokuwa mwanaume.Swala la kujiamini au kutojiami ni tabia ya yeyote yule
kwa nini sasa Munahitaji vitu vizuri huku mnasema mwanamke anawezaTena wala si maneno mazuri tuu ni mpaka vitu vizuri.
wanawake wakileo ni janga la kitaifa nyie ndio munaosabibisha kubandili tamaduni kwa kingezo cha women liberationHuezi kubadili asili kwamba mnatakiwa mtuhudumie tena ipasavyo.
Tatizo mmekuwa wazembe.
kwa kweli wadau sio kila mwanamke anaevaa sketi basi anapaswa kuolewa .
Wanawake wa kipindi hiki wamekua wabinafsi wanaojijali wenyewe na familia zao tuh yaan mama , baba yake au wadogo zake tuh . Na kutowajali ndugu wa upande wa mume wake . Hivyo kupata mke mwema ktk dunia ya sasa ni vigumu sana na kama mwanaume hautomtosheleza kimahitaji huyo mkeo basi ujue utaibiwa tuh maana atatafuta mbinu mbadala ili atimize hitaji lake .
Naomba kuwakilisha wana jf.