Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo mwenye mawazo tofauti na hoja ya kuwa tumepiga hatua kimaendeleo chini ya JPM ni KICHWA PANZI?
Tupe mfano mmoja ili wote tusome ukurasa ule ule ''same page''"Bongolander, post: 31861380, member: 3997"]
Mimi sioni kama ni vibaya kumkosoa Magufuli.
Hata yeye mwenyewe huwa anajikosoa, na pale anapoona amekosea anajaribu kubadilisha.
Katiba inayotoa fursa ya kuiba, kutufanya tuwe duni, kutumika kwa masilahi binafsi siyo katiba inayofaa.Uongozi wa kufuata sheria na unaoheshimu katiba kweli unafaa sana, kama haufanyi usanii. Nadhani wengi tunapenda tufike huko, ambako bado hatuajafika. Iwe ni sababu ya kuwa na mashaka na katiba yenyewe, au iwe ni sababu ya mianya ndani ya katiba, au kukosa muundo imara wa kulinda na kutetea katiba. Tatizo langu mimi kwenye issue hii ni kuwa, kuna wale ambao wanatumia katiba kutuibia au kutufanya tuwe duni, na wengine wanatumia katiba kwa maslahi binafasi na sio maslahi makuu ya taifa.
Mkuu unaonekana kuwa obsessed sana na Wapinzani.Hapa ni wote wana CCM na wapinzani.
Kama tunatumia katiba kufanya uchaguzi, kupata viongozi, kuwaapisha viongozi na kuunda serikali kuna ubaya gani kuonyesha kuwa sisi ni nchi yenye kufuata katiba tuliyo nayo?Lakini kuna wengine ambao ndio nawalaani zaidi, wanapenda kujionyesha (kwa nchi za magharibi) kuwa wanafuata katiba lakini gharama yake kwa taifa ni kubwa, ni kama tunagharamia mchezo wao.
Hili nalirudia kila mara.Kwangu mimi binafasi maendeleo ni kitu cha kwanza na cha msingi kabisa.
Katiba inayokupa haki ya kuleta maendeleo inawezaje kuwa kikwazo tena? I mean hapa sielewi kabisaMImi binafsi kutokana na kiwango cha maendeleo ya nchi, nisingependa kitu chochote kinizuie kuleta maendeleo ya nchi, iwe katiba, iwe chama au hali yoyote.
Maana ya uongozi, ni kupanga, kuonyesha na kufanya yaliyo bora.Lakini nachukia watu wanaojaribu kutumainisha kuwa JPM anavunja katiba as if Mwalimu, Mzee Ruksa, Mkapa na JK hawakufanya hivyo. Ukiangalia kuna cases nyingi tu ziliwahi hata kufikishwa mahakani kuhusu ukiukaji wa katiba. That is not the issue for Tanzanians. Issue kwa sasa ni maendeleo.
good is never enough where better is possible. .
Mkuu, sasa hapa si ulisema Wapinzani wanaitumia kutuibia, masilahi binafsi na kufisadi?Issue ya katiba ni ngumu sana, ukumbuke kuwa ni moja ya misingi muhimu ya Tanzania yetu. Naweza kusema katiba ina mianya mingi sana ya kufanya ufisadi, kama kuna kiongozi fisadi. Kwa hiyo inategemea will ya aliye madarakani.
Katiba haina kifungu kinachozungumzia allocation ya fund. Hakuna.Hakuna mahali inaposema inaruhusu ufisadi, lakini bado ina mianya inayoruhusu allocation of funds ambazo wananchi inawezekana tusipende.
Mkuu tuwe vulnerable kwa unyonyaji kutoka wapi na kwa vipi.Au mtu anaanza kuwa na ideas zinazofanya nchi yetu iwe vulnerable kwa unyonyaji na kutugawa, kidogo inakuwa vigumu kuelewa kama anakosoa au anahatarisha.
Hapana hapa sikubaliani nawe kabisa.Jambo moja ninaloona kuwa wote tunakubali kuwa tunahitaji maendeleo.
Bado hujajibu hoja. Wapi kufungu ndani ya katiba kinacho allocate fund kiasi kwamba katiba inakuwa dude baya sana hata kulizungumzia ?Ok let us look at this and try to see make a sense of it. The government has the authority to raise wages of government employees, and it is the parliament which has to give the government a go ahead if it wishes to do so. Otherwise watumishi wataendelea kubebembeleza sana. Angalia wabunge.... wakitaka marupurupu zaidi wanakaa wao wenyewe na kuamua kujiongezea as they wish. They will tell the government we need this increment and if not, then we will give you the hardest time in the parliament. And when it comes to voting, all will vote YAY.... (wa chama tawala na wapinzani) Wana mamlaka ya kikatiba kufanya hivyo... How do you explain this? Kwanini tusimwambie Mufti na Askofu mkuu ndio waamue mishahara yao?
Katiba haina kifungu kinacho elekeza namna ya kuallocate fund. I accept kuwa sijieleza vizuri. Nilichokuwa nasema ni kuwa baadhi ya taasisi zetu zimekuwa na mamlaka ya kujiamulia mambo kwa maslahi ya taasisi au watumishi wake. Kitu ambacho naona kina utata kidogo.Bado hujajibu hoja. Wapi kufungu ndani ya katiba kinacho allocate fund kiasi kwamba katiba inakuwa dude baya sana hata kulizungumzia ?
Mkuu Nguruvi3, siyo kwamba sikutaka kuingilia huu mnakasha awali, hapana, nilikuwa bado najaribu kumwelewa huyu Bongolander...kwa nini aanzishe mada yenye maudhui kama alivyofanya...eti; Si kila mtanzania ni kichwa cha panzi - we have made progress under JPM (For sure more needs to be done.Bado hujajibu hoja. Wapi kufungu ndani ya katiba kinacho allocate fund kiasi kwamba katiba inakuwa dude baya sana hata kulizungumzia ?
Akichoka kuwabebesha lawama wapinzani anarukia katiba, anaibebesha Katiba lawama na kuihukumu kwa matatizo yaliyosababishwa na CCM kwamba Katiba si lolote si chochote, nanukuu;Mimi sina imani sana na wanasiasa wa CCM na hata wa upinzani, most of politicians are driven by personal interest. Ndio maana siamini kama wapinzani ni malaika, ni wale wale tu. Uzuri ni kwamba ndani ya CCM tumeweza kuona kuna mafisadi kwa kuwa wako madarakani, lakini hata wapinzani wakiwa madarakani tutaona true colours.
Mkuu Nguruvi3, tatizo la nchi hii kiini chake ni watu kama Bongolander na kwa bahati mbaya wametamalaki wakiamini wanajua kumbe hakuna chochote wanachojua.Mimi issue yangu kubwa ni kuwa siwezi kuchelewesha maendeleo eti kwa sababu katiba mbovu, au usimamizi wa katiba ni mbovu. Let us do other things first wakati tunaweka vichwa vyetu sawa kuhusu katiba. So the whole debate around Constitution to me is just white noise. Hapana nitaendelea kuwa tofauti na wewe hadi kesho, lakini argument yako naielewa vizuri kabisa, and it is very genuine and natural.
Mkuu ukimsoma vizuri lengo lake ni 'kupiga debe' si maendeleo bali watu"Mag3, post: 31879147, member: 10873"]
Mkuu Nguruvi3,'' Si kila mtanzania ni kichwa cha panzi - we have made progress under JPM (For sure more needs to be done''
Mpaka dakika hii bado natafakari Bongolander alitaka kufikisha ujumbe gani lakini natoka kapa au ni kwa sababu mimi ni kichwa panzi! Wapinzani hawajawahi kuwa madarakani ndani ya taifa hili lakini Bongolander yuko tayari kuwabebesha lawama na kuwahukumu kwa matatizo yaliyosababishwa na CCM akidai wote ni binadamu, nanukuu;
Nilimtahadharisha awali kabisa, kwamba, hili wimbi la CCM kutuma vijana mitandaoni bila kujua wanawatuma nini na wao kutojua wanatumwa nini ni jambo la hatari sanatatizo la nchi hii kiini chake ni watu kama Bongolander na kwa bahati mbaya wametamalaki wakiamini wanajua kumbe hakuna chochote wanachojua.
Ningeshauri arejee mabandiko yote na hoja zake zilivyobomolewa kwa hoja kisha abadili kichwa cha habari.Wanataka kujenga nyumba bila msingi imara wakiamini kujenga msingi imara si muhimu kutachelewesha ujenzi! Tunaopiga kelele kudai msingi imara tunaitwa vichwa panzi!
Haya ni maneno ya hatari mno kutoka kwa Great Thinker🤷♂️🤷♂️🤷♂️Swali na mwisho uliloniuliza kama naweza kusema ni swali gumu kwangu. "Kukiuka katiba kwa nia nzuri??" MImi binafsi kutokana na kiwango cha maendeleo ya nchi, nisingependa kitu chochote kinizuie kuleta maendeleo ya nchi, iwe katiba, iwe chama au hali yoyote. Kipaumbele ni Maendeleo. Lakini nachukia watu wanaojaribu kutumainisha kuwa JPM anavunja katiba as if Mwalimu, Mzee Ruksa, Mkapa na JK hawakufanya hivyo. Ukiangalia kuna cases nyingi tu ziliwahi hata kufikishwa mahakani kuhusu ukiukaji wa katiba. That is not the issue for Tanzanians. Issue kwa sasa ni maendeleo.
Bongolander, naomba unisaidie kidogo kwa kunielimisha unakoitoa hii dhana ya awamu zilizopita kuwa za kidemokrasia! Je utawala wa Kikwete ulikuwa wa kidemokrasia? Je utawala wa Mkapa ulikuwa wa kidemokrasia? Kama tawala hizo zilikuwa za kidemokrasia kama unavyojaribu kudai basi na huu ni wa kidemokrasia, sawa?Kwa mstaarabu anaweza kusema njia ya demokrasia ndio inatufikisha kwenye maendeleo. Nadharia nyingi vitabuni zinatueleza hivyo. Lakini mimi nina mashaka sana na njia hiyo, kwa sababu Tanzania haijaleta matokeo hayo. Awamu ya JK ilipoingia madarakani miaka mitano ya kwanza, ilikuwa na mandate ya asilimia +80 ya watanzania, uchaguzi uliowangiza madarakani ulikuwa wa kidemokrasia. Tell me what we got out of it...what did Tanzania get out of that! Wapinzani walitusaidia sana watanzania kwa kututoa tongo
Huyu bwana sina uhakika kama anafuatilia habari za dunia nyingine.Haya ni maneno ya hatari mno kutoka kwa Great Thinker🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Kwamba somehow ama kwa bahati mbaya au makusudi unashindwa kutambua umuhimu wa katiba na utawala wa sheria katika suala zima la ustawi na maendeleo ya nchi! Kwamba bora tupate maendeleo hata kama inatugharimu utawala wa katiba na sheria vitu ambavyo tukivichezea vinaweza kuleta athari kubwa kwenye amani ya nchi!
Bila shaka sasa uko tayari kukubaliana nasi kuwa ili tupate maendeleo tunahitaji mabadiliko makubwa katika uongozi wa taifa. Mpaka siku tutakapozinduka na kuachana kabisa na tawala za kiimla zisizozingatia sheria, maendeleo yatabaki kuwa ndoto.Kweli for great thinkers the talk should be democracy and rule of law leads to development.