Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Ndiyo faida ya kuwa na uhuru wa mawazo."Bongolander, post: 31766135, member: 3997"]
1.Serikali iliyopita ni jukwaa hili ulianikwa uozo mwingi uliopo kimfumo na uliotudunisha kwa muda mrefu kama taifa.
Sidhani kama dhana ya Tanzania kwanza imekufa na sioni tatizo kwa dhana ile kama ilivyotumika.2. Tulishambulia ujinga na wenye akili walisema Tanzania, kwanza na utanzania kwanza.
Mhh, sina uhakika yamefanyiwa kazi au la.Kutosikia yakisemwa haimaanishi yamefanyiwa kazi3. Na baada ya awamu ya tano kuingia madarakani, mengi tuliyokjuwa tunalalamikia huo yamefanyiwa kazi, na mengine hata yamezidi matarajio.
Hili nalo nina tatizo. Kuna tafsiri isiyo sahihi kuhusu gharama za kusafiri4. (Kumbukeni madili yaliyokuwa yanapigwa kutokana na safari za rais nje ya nchi ambazo hadi leo hii gharama zake anajua Mungu- JPM Ametatua kabisa na kufanya maajabu)
Hili naweza kusema ni matokeo ya kutuma vijana mitandaoni kutetea hoja kwa viroja, kuvuruga hoja na kuwatisha watu kuwa ''uzalendo'' si kueleza mbadala ni kukubaliana na kila kinachosemwa.5. Ningependa turudi kwenye njia ile, ili manjuka wajue kuwa mijadala ni hoja zinazolenga issues, na sio mashambulizi ya wasifu binafsi
Tumewajenga vijana kuamini kuwa mawazo tofauti ni kukosa uzalendo. nimelieza hapo juu7...Badala ya kueleza mibadala na kuchambua kwa picha kubwa, wanagusa vidone vodone na kuacha mbali picha kamili ya nchi yetu, na kuanza lugha za matusi.
Wengine tulizungumzia hili, kwamba, pesa zilizokuwepo mitaani ni zilikuwa nje ya mfumo rasmi wa mzunguko wa pesa.8.Tujaribu kuangalia ni nini kilikuwepo before JPM, na sasa tukoje. Kuna ukweli kuwa baada ya hela za dawa za kulevya kuondolewa mitaani, na za ufisadi kupungua sana mitaani, hali iko tofauti.
Swali, katika mazingira kama hayo , je, tunapiga hatua ''we have made progress''Bongolander, post: 31790845, member: 3997"] Unajua ni kweli kuna watu wanaogopa kumwambia JPM hali halisi ya baadhi ya mambo, au wanaamua kukaa kimya kwa hofu ya kutumbuliwa, au kum-mislead kwa kujilinda wenyewe. Yote matatu hayajengi.
Kikokotoo ni mswada uliopelekwa Bungeni na Serikali. Miswada hupitiwa na vyombo husika ikiwemo Cabinet. Je, unataka kusema hilo halikutokea?Lakini uzuri ni kwamba JPM akiambiwa na akielewesha kupitia proper channels anachukua hatua, au hata akijua mwenyewe anachukua hatua.Mfano mzuri ni issue ya kikokotoo. Nadhani kila mtu alikaa kimya na kuacha wastaafu waumie.
Lakini JMP alisimama nataka itafutwe njia mbadala. Kwa kuwa kilio kilisikika na kimifikia
Ipi ni njia bora, kufanya mabadiliko ya mfumo, au kufuma sehemu zilizoharibika kwa njia za reja reja. Kwanini tunaendelea kutumikia mfumo ule ule unaotuletea matatizo bila kufikiria njia mbadala ya kutafuta suluhu ya kufumua mfumo na kuusuka upyaKuna changamoto nyingine zipo hatuwezi kukataa, maana tunaziona, lakini tusitregemee kuona uozo wa miaka 30 unarekebishwa kwa miaka mitatu, will take more than that.
Tatizo ni wapiga debe wasiojua wanachoongelea, wasioweza kujenga hoja, wanaotafuta kiki na wasiojua mkakati hasa wa mawasilianoHili la Rais kusafiri mkubwa it pains me like hell. In fact linaweza kupimwa. Tunaweza kuombaLakini sasa idadi ya safari imepungua, tickets zinanunuliwa moja kwa moja kwa airline companies, kile cha juu tulichokuwa tunaibiwa na agents hakipo tena.
Tatizo ni kuwa serikali haitwaambii wananchi wazi ni vipi hatua za kupunguza safari za nje zimefanyika na zimeokoa kiasi gani. Na watu wanafikiri ni JPM peke yake hasafiri safiri.
JPMi ni kiongozi mzuri ingawa siyo politician au economist mzuri. Anachofanya inaitwa a bitter pill that heals. Unfortunately mtoto akizaliwa huwa haanzi kukimbia papo hapo; itachukua miaka kabla ya watu kuona matunda ya juhudi hizo. Inaweza kuwa ni muda ambapo JPM hatakuwa madarakani tena.
Hapa kuna tatizo kubwa la mfumo. Kila mwaka tunasomewa mipango ya maendeleo ."Bongolander, post: 31805002, member: 3997"]unaona karibu kila kona ni mess, where do we start? What do we start with? Where would you start if you wore JPM shoes? Tuanze sekta ya Kilimo? usafiri? hata hiyo ya usafiri tuanze kwa reli? barabara? tusubiri kununua ndege mpya mwaka 3000? Tuanze sekta ya fedha? afya? tuanze kuboresha administration system, tuanze wapi? Ni vigumu sana kwa kuwa tumevuruga mambo mengi sana kwa muda mrefu. Uozo uko kila kona, tunatakiwa tuendelee kusema na kuweka mambo wazi ili serikali iyafanyie kazi. Kumbuka JPM alivyoingia madarakani....at some point alikiri mwenyewe kuwa "Kikwete umeniachia kazi ngumu".
Kuhusu ugumu wa kazi ya Urais, Mwl Nyerere alisema ''...nimekaa pale Ikulu miaka 23, ni kazi ngumu kweli. Kila jambo ni mzigo wako'' Sasa nani hajui uzito wa kazi hiyo ?Kama mtu anajua kuwa urais ni kazi ngumu, basi kwa busara ndogo tu ni kuwa the person is serious with the job. Lakini kama anauchukulia urais ni fursa ya kujipatia misifa na utukufu, hawezi kutusaidia. I believe kuwa JPM na timu yake wana nia ya kuiendeleza Tanzania at heart. (Licha ya kuwa dosari na changamoto zipo)
Bila kuwa na mfumo sahihi unaotuongoza tutaendelea kuishi katika hali ya uozo kama ilivyokuwa.Ninaposema sio kila mtanzania ni kichwa cha panzi, maana yangu ni kuwa si kweli kama katika miaka mitatu hakuna la maana lililofanyika contrary to what opposition parties are trying to have us believe. There are lots of tangible outcomes, some of which directly touch our lives (Tuangalie kazi za TAMISEMI). Na pia sio kweli kuwa Tanzania tayari ni nchi ya asali na maziwa kama baadhi ya watu wa CCM wanaokuja hapa jamvini na kujaribu kutuaminisha, (there is no way uozo wa miaka mingi ukaondolewa kwa miaka mitatu). Sipendi notion ya baadhi ya watu kuwa CCM iko sahihi siku zote na wapinzani hawako sahihi. Au CCM haiko sahihi siku zote na wapinzani wako sahihi. Hili haliwezekani.
Mkuu civil service hazitakiwi kwa sasa.Nadhani cha muhimu ni kuwa tuendelee kutoa sauti kwa mambo ya msingi, tusiwe pawns wa wanasiasa. Kama hatuana imani na wanasiasa tukumbuke kuwa tuna civil service...so it is a matter of how to channel out thoughts.
Hapa ninapata tatizo la kukuelewa. Kwa nchi yetu, Chama huteua mgombea na hapa ni CCM."Bongolander, post: 31816213, member: 3997"]CCM kama chama idara yake ya habari imeshindwa kuandaa hoja za kumuunga mkono Rais na serikali kwenye miradi inayotekelzwa sasa. Mpaka sasa mbali na cosmetic statements za wanasiasa, bado hakuna organised and systematic efforts to communicate na watanzania umuhimu na ulazima wa miradi kama Stiglers Gorge au SGR.
Tunawezaje kuwa na Bunge lisilotokana na vyama?Binafsi ningependa bunge liwe la chama kimoja, au lisiwe na vyama kabisa….
Hili la mfumo ninaliongelea kwa maana ya utaratibu wa kujitawala. Huko nyuma umeongelea uozo wa kila mara unaojitokezaKuna mahali umeuliza kuwa kipi bora kufanya mabadiliko ya kimfumo, au tuendelee na mfumo huu na kuweka viraka kwenye matatizo. Ugumu wa swali hili ni kuwa sisi wenyewe hatujui vizuri tunafuata mfumo gani. Ujamaa na kujitegemea? Ubepari na kuendeleza mfumo wa mtaji? Uliberali na kutegemea misaada? Tukiwa na jibu, ndio tunaweza kuanza kazi ya kubadilisha mfumo. Au tunazungumzia mfumo wa utendaji wa civil service kutoka kuangalia tatizo, kulifanyia majadiliano, kufanya maamuzi, kutoa maigizo na utekelezaji? Still not very clear. Hiyo ni challenge.
Nilidhani kuwa mipango inaongozwa na sera. Kama hukuna sera si ndio mwanzo wa kuwa na kilimo kwanza, elimu kwanza viwanda kwanza n.k."Bongolander, post: 31827986, member: 3997"]Tunaweza kusema CCM ya Magufuli ni tofauti kabisa na CCM ya Kikwete. Sidhani kama issue kwa Tanzania ni sera, naona kama sera za vyama vyote zinafanana, labda tofauti ziko ndogo ndogo.
Hapa unatueleza kuwa ''nguruwe ni haramu lakini mchuzi wake ni halali''.Lakini tumeona kabisa kuwa CCM awamu na nne na awamu ya tano, ni CCM mbili tofauti kabisa, japo sera ni zile zile. Na kama ukiangalia kwa undani unaweza kuona kuwa JPM hataki kukwamishwa na politics kwenye utendaji wake.
Unaweza kusema kwa dhati kabisa CCM ya leo na ya Mwalimu au Mwinyi au Mkapa zinalingana kwa ukaribu wa chama na WananchiNinachokiona in regard to CCM, serikali ya sasa ya CCM inajaribu kukirudisha chama kwa wananchi na wanachama, baada ya serikali mbili zilizopita kukiuza kwa matajiri.
Well said, kwa ufupi unaunga mkono hoja ya mfumo hasa Katiba ni tatizo kama ambavyo inatunyima Wabunge wa kujitegemea.Kama tungekuwa na utaratibu wa kuchagua wabunge wa kujitegemea labda tungekuwa na bunge huru na lene nguvu ya kuisukuma serikali, kwa sasa sherif zetu zinalazimisha mbunge awe na chama.
Nimesimama na hoja ya katiba kwa muda wote nikiwa JF, na nasimama nayoKama kweli unafikiri tatizo la kimfumo ni katiba, you are very wrong.
Nitakubali kuwa katiba ni tatizo, kama hii iliyopo ikitekelezwa kikamilifu.
Kuanza kuilaumu katiba wakati dosari ni za kiutendaji, hasa kutosimamia sheria za sasa, ni kumiss point. Bora tutekeleze katiba kikamifu, halafu tuangalie ni papi kuna dosari, then ndio tubadilishe.
Tanzania tulikuwa ''gold standard' za mambo ya kujitawala sijui hilo limeishia wapi.Kenya walifikiri issue ni katiba, lakini hatuoni tofauti kubwa kati ya katiba ya sasa na iliyopita. Na pia kama utawala wa Mkapa, JK na JPM zinakuwa tawala tatu tofauti sana wakati chama ni kile kile, na katiba ya nchi ni ileile, ile basi ina maana kuwa tatizo liko pengine, sio kwenye katiba.
Naomba utuongoze katika kujadili hili la mafanikio ya TAMISEMIThere are lots of tangible outcomes, some of which directly touch our lives (Tuangalie kazi za TAMISEMI).
Hayo ya muda ndani ya uongozi ni tatizo lenu CCM. Tafuteni suluhu, siyo suala la kitaifa"Bongolander, post: 31816213, member: 3997"]
Utamaduni wa miaka 10 kwa CCM ni bora ukiheshimiwa, na katika miaka hiyo 10 concentration iwe kwenye maendeleo, kama kukosoana tukosoane kwa lengo hilo.
Bongolander, tatizo lako la msingi ni kwamba ama kwa kukusudia au kwa bahati mbaya, umeamua kutuita sisi ndugu zako Watanzania ama tusiokubaliana nawe au tuaothubutu kumkosoa JPM...ama ni vichwa panzi au ni wasaliti wa taifa.Nadhani cha muhimu ni kuwa tuendelee kutoa sauti kwa mambo ya msingi, tusiwe pawns wa wanasiasa. Kama hatuna imani na wanasiasa tukumbuke kuwa tuna civil service...so it is a matter of how to channel out thoughts.
Bongolander, tatizo lako la msingi ni kwamba ama kwa kukusudia au kwa bahati mbaya, umeamua kutuita sisi ndugu zako Watanzania ama tusiokubaliana nawe au tuaothubutu kumkosoa JPM...ama ni vichwa panzi au ni wasaliti wa taifa.
Mkubwa kwanza nijikusanye kidogo, haya ya TAMISEMI sinayo karibu lakini yapo. Will get back.Naomba utuongoze katika kujadili hili la mafanikio ya TAMISEMI
Tafdhali sana
Hayo ya muda ndani ya uongozi ni tatizo lenu CCM. Tafuteni suluhu, siyo suala la kitaifa
Naona unaishi dunia ya peke yako ndugu yangu, dunia ya kufikirika na si hii Jamhuri yetu ya Muungano, Tanzania! Je umejiuliza na kutafakari kwa nini baadhi ya wananchi wenzetu, ndugu zetu na rafiki zetu wanatekwa, kuteswa, kumiminiwa risasi na kuokotwa kwenye viroba wakiwa maiti?Heshima yako mkubwa, kwanza niweke vizuri. Kutokubaliana kimawazo hata siku moja si usaliti.
Hakuna jambo la hatari katika awamu hii kama kutofautiana kimawazo na utawala na hali hii imefanya wananchi waishi kwa woga kuliko wakati wowote toka tupate uhuru. Kwa mara ya kwanza serikali imekiri kuwa kuna kundi la watu wasioonekana wala kujulikana linaloteka, kutesa na hata kuwaua wenye mawazo tofauti na hasa wapinzani....na ukiangalia kwa auandani unaweza kuona kuwa hata kama tunatofautiana kimawazo, lengo letu ni moja, kuiona Tanzania yetu inakuwa bora.
Bila shaka hujawahi kujiuliza hatma ya kijana mwanaharakati, Ben Saanane, ambaye alipata ujasiri wa kumkosoa Magufuli. Mbunge na kiongozi mwandamizi wa Upinzani Bungen, Mh. Tundu Lissu, sasa ni mwaka wa pili akiwa kwenye matibabu nje ya nchi baada ya kumiminiwa risasi zilizotosha kumwangusha tembo mchana kweupee katika eneo lenye ulinzi 24/7, kisa? Kuukosoa utawala wa Rais Magufuli!Mimi sioni kama ni vibaya kumkosoa Magufuli. Hata yeye mwenyewe huwa anajikosoa, na pale anapoona amekosea anajaribu kubadilisha. Kwa hiyo kumkosoa sioni kama ni jambo baya.
It is also a fact kwamba hakuna Rais hata moja ambaye wakati wa uongozi wake taifa halikupiga hatua yoyote kimaendeleo! Hata hivyo kama walivyowahi kusema wahenga, good is never enough where better is possible. Katika awamu hii na bila kumung'unya maneno hatua za kurudi nyuma zimefunika hatua za kusonga mbele na huo nao ndio ukweli mchungu.The whole point of my post ni kuwa tunatakiwa tu ackonwledge kuwa tangu aingine madarakani, kuna mambo tumepiga hatua, Hili tukubali. Kuna mambo tumerudi nyuma pia that is fact too. Lakini tuangalie realities za nchi yetu.
@Bongolander, koleo liite kwa jina lake...tafadhali sana usiliite kijiko! Kwa tulipofika tatizo si Katiba, tatizo ni kiongozi kuamua kutofuata Katiba. Kama tatizo lingekuwa Katiba, ndani ya Katiba hiyo hiyo ziko njia za kuifanyia marekebisho au maboresho bila kuvunja sheria. Wanaoamua kwa makusudi kutofuata Katiba ni mafashisti au madikteta uchwara. Dikteta anayejiamini hasiti kutumia Katiba hiyo hiyo kujipa uhalali wa kuwa dikteta lakini dikteta uchwara hujitwalia madaraka haramu kimabavu. Huu ni woga na si ujasiri na kiongozi kama huyo hujificha nyuma ya maendelao hewa.Uongozi wa kufuata sheria na unaoheshimu katiba kweli unafaa sana, kama haufanyi usanii. Nadhani wengi tunapenda tufike huko, ambako bado hatuajafika. Iwe ni sababu ya kuwa na mashaka na katiba yenyewe, au iwe ni sababu ya mianya ndani ya katiba, au kukosa muundo imara wa kulinda na kutetea katiba.
Acha kudanganya watu ndugu yangu, hakuna Katiba inayoruhusu vitendo vya kihalifu, hakuna kipengele chochote ndani ya Katiba yetu pamoja na mapungufu yake inayoruhusu wizi. Wenye ujasiri wa kufanya hivyo ama wanavunja sheria au wanajiona wako juu ya Katiba na kwa utawala wa awamu hii wametamalaki kila moja kwa ngazi yake. Swali ni je aliyeapa kuheshimu, kutetea na kulinda hiyo Katiba na Katiba hiyo hiyo ikampa mamlaka na vyombo vyote vya kuilinda yuko wapi?Tatizo langu mimi kwenye issue hii ni kuwa, kuna wale ambao wanatumia katiba kutuibia au kutufanya tuwe duni, na wengine wanatumia katiba kwa maslahi binafasi na sio maslahi makuu ya taifa. Hapa ni wote wana CCM na wapinzani.
Bila shaka hapa unajaribu kuwalaani wale wanaopigia kelele uvunjifu wa Katiba ama siyo? Kwamba kudai utawala unaozingatia sheria (Katiba) ni jambo la kulaaniwa na linalolitea taifa matatizo, fedheha na gharama? Masikini Tanzania, kweli tumefikia hapa!Lakini kuna wengine ambao ndio nawalaani zaidi, wanapenda kujionyesha (kwa nchi za magharibi) kuwa wanafuata katiba lakini gharama yake kwa taifa ni kubwa, ni kama tunagharamia mchezo wao. Hawa nawachukia.
Naomba nikukumbushe tu msingi wa Katiba yetu, nanukuu...Kwangu mimi binafasi maendeleo ni kitu cha kwanza na cha msingi kabisa. Mengine yanafuata. Nadhani hapa jamvini tofauti yetu iko kwenye mawazo ya namna ya kufikia maendeleo hayo.
Hata kama Watanzania, wananchi wenzako, ndugu zako, jirani zako, marafiki zako wenye mawazo mbadala wanatekwa, wanateswa na wanauawa twende tu, tutafika...kipaumbele ni maendeleo! Swali linalozuka hapa ni je kwa nini tunahitaji maendeleo?Swali na mwisho uliloniuliza kama naweza kusema ni swali gumu kwangu. "Kukiuka katiba kwa nia nzuri??" MImi binafsi kutokana na kiwango cha maendeleo ya nchi, nisingependa kitu chochote kinizuie kuleta maendeleo ya nchi, iwe katiba, iwe chama au hali yoyote. Kipaumbele ni Maendeleo.
Je wewe? Unajaribu kutuaminisha kuwa JPM havunji Katiba? Je Katiba inaruhusu wananchi wenye mawazo mbadala kunyamazishwa kwa namna yoyote ile? Je Katiba inamruhusu JPM kutwaa madaraka ya Bunge? Je Katiba inamruhusu JPM kuwa juu ya sheria? Je, je , je?Lakini nachukia watu wanaojaribu kutumainisha kuwa JPM anavunja katiba.
Tuseme Mwalimu, Mzee Rhuksa, Mkapa na JK walifanya hivyo, je inahalalisha huu utawala wa kikatili? Ah, unasema issue ni maendeleo, sawa...utadhani wakoloni hawakuleta maendeleo yoyote.as if Mwalimu, Mzee Ruksa, Mkapa na JK hawakufanya hivyo. Ukiangalia kuna cases nyingi tu ziliwahi hata kufikishwa mahakani kuhusu ukiukaji wa katiba. That is not the issue for Tanzanians. Issue kwa sasa ni maendeleo.