Si kila mate ni udenda, jua aina nyingine za mate

Si kila mate ni udenda, jua aina nyingine za mate

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo

Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali

Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana na kutamani kitu kama mapochopocho nk

 
Back
Top Bottom