Kama mwenyezi mungu asingependa isingetokea, kila kitu ni kwa ruhusa yake yeye. . kumbuka hata hao wabaya wanamuomba yeye nae anawafanikishia. Mfano mtu anania ya kukugonga na gari, akiamua akupe mtihan kweli atakugonga, akiamua yasikukute mtu akukosa ktk hali ambayo kila mtu haamin... Trust me mkuu...
Ajali magonjwa umasikini njaa na vingine kama hivyo si mapenzi ya Mungu vyote na vinaletwa na mfumo wa maisha ya binadamu unaotawaliwa na shetani,MUNGU wakati wa uumbaji hakusema wewe utakuwa masikini na wewe utakuwa tajiri ni mfumo tu wa maisha uliowekwa na watu na unaosimamiwa na watu.
Ajali magonjwa umasikini njaa na vingine kama hivyo si mapenzi ya Mungu vyote na vinaletwa na mfumo wa maisha ya binadamu unaotawaliwa na shetani,MUNGU wakati wa uumbaji hakusema wewe utakuwa masikini na wewe utakuwa tajiri ni mfumo tu wa maisha uliowekwa na watu na unaosimamiwa na watu.
Kwa mfano umasikini wa Tanzania unaletwa na sisiem,
nimepatia?
huyo mungu anayeruhusu watu kuuawa na mashetani huyo si Mungu wa Ibrahim Isaka ya Yakobo (israel), ni mungu chinjachinja. kwanini kila kitu hata kama ni cha mashetani huwa mnamsingizia Mungu, ati hakuna kifo ila alichoruhusu mungu, hata wale wa ISIS na boko haram mnasema ni mungu ameruhusu. imani hizi?Kama mwenyezi mungu asingependa isingetokea, kila kitu ni kwa ruhusa yake yeye. . kumbuka hata hao wabaya wanamuomba yeye nae anawafanikishia. Mfano mtu anania ya kukugonga na gari, akiamua akupe mtihan kweli atakugonga, akiamua yasikukute mtu akukosa ktk hali ambayo kila mtu haamin... Trust me mkuu...
Sijakuelewa
Labda anamaanisha hata jambazi akifanya yake anamuomba Mungu asikamatwe na anafanikiwa...
Kitu kimoja nichangie kama nitaeleweka, hako kajitu kalikozungushiwa au huyo mnyama wa ajabu kama kweli ni mambo ya kichawi, mazingara je vingeweza kupigwa picha kwa hizi kamera/smartphone alizotengeneza mzungu?
mshanajr hebu fafanua hiko ni nini lilichozungushiwa round. Kama ni shetani au mzimu au mchawi je anaweza kuonekana kwa naked eyes mpaka apigwe picha?
Tafakari kabla hujapost kitu
Sijakuelewa