Si haba Mzanzibari mkaazi

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu.

watesi wengi walikuwa wakitubeza kuwa Zanzibar tusahau kupata nafasi ya Mzanzbaari mkaazi kuongoza taifa la Tanzania kama haitoshi walitusema eti ni wabeba mikasi tu balaa lilomkuta yule makamo wa raisi wakati wa Kikwete ,Mzanzibari Mkaazi akiitwa Bilal.

Mwenyezi Mungu si binadamu au si Achumani ,wacha kwa njia zake ametujaalia na waZanzibari kuweza kushika nafasi hio kwa njia nyepesi sana haitaki vita wala mauaji ya raia kuuliwa na polisi,kisa bwankubwa awe raisi.

Samia popote ulipo zikifikie salaamu kuwa fanya juu chini lile jambo letu liwe,kisha unalitua zigo lao,uwawache waitane magaidi.(Jina baya linalotiliwa mbolea Tanzania,kila mtu ni gaidi)
 
Kwaiyo unampiga vijembe mkuu wako? Sawa taifa linaongozwa na mzanzibar" vipi unavutiwa na aina ya uwongozi wa mkuu wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu.

watesi wengi walikuwa wakitubeza kuwa Zanzibar tusahau kupata nafasi ya Mzanzbaari mkaazi kuongoza taifa la Tanzania kama haitoshi walitusema eti ni wabeba mikasi tu balaa lilomkuta yule makamo wa raisi wakati wa Kikwete ,Mzanzibari Mkaazi akiitwa Bilal.

Mwenyezi Mungu si binadamu au si Achumani ,wacha kwa njia zake ametujaalia na waZanzibari kuweza kushika nafasi hio kwa njia nyepesi sana haitaki vita wala mauaji ya raia kuuliwa na polisi,kisa bwankubwa awe raisi.

Samia popote ulipo zikifikie salaamu kuwa fanya juu chini lile jambo letu liwe,kisha unalitua zigo lao,uwawache waitane magaidi.(Jina baya linalotiliwa mbolea Tanzania,kila mtu ni gaidi)
Muungano uvunjwe akawe Rais wa Zanzibar
 
Hiki ni kiini macho mnafanyiwa....

....Mwambie aamishie na Ikulu huko huko Zenji km kweli ana uwezo tayari hii inchi ishatengenezewa mifumo ambayo ni ngumu kuibadilisha.
 
Back
Top Bottom