Kwa kaz gani hasa..wanajeshi wa nchi hii inabid waambiwe ukwl,wamejisahau sana,kuna kaz ilibid wafanye wao lakin hawafany,wanaajir watu bak na kuwagharamia,kiufup hawana kaz kubwa sana nchin,..kaz ambazo wanajesh ilibid wafanye kwa nchi kama hii isiyo na machafuko na sio wengne ni kama ifyatavyo..askar wa nyama pori na maliasili,sion umuhim wa kurecruit raia wengne kufanya kaz hyo akat wao wapo..ulinzi mkubwa mkubwa mfano mipakan huko kunakofanyika biashara chafu.ishu kama za kibit ndo angle zao,na baadh ya huduma za jamii mfano afya,shule,..ila sasa wao wanakaa wanasubiria ishu itokee,nan awahudumie sasa miaka yote hii isiyo na machafuko,nchi zenyew maskin hiz uchum mdogo bas tushirikiane,isijekua wengne waish kiujanja ujanja,ndomana skuhiz ma graduate weng wa degree chuo kikuu wanakimbilia huku sabab wanajua huku ni mshiko wa bure tuu,