Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
View attachment 708307
Mmmh hapa nadhani hackers watakuwa wamehack tena account ya huyu mamaKada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
View attachment 708307
Hachelewi kusema account yake ilikua imedukuliwaKada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
View attachment 708307
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiHahahaaaa,,,ni kweli huyo mama Janeth ni mvumilivu sana kama watanzania miaka 3 mmeshamchoka je mama Janeth???
Samia suluhu nampongeza kwa kufanya kazi na bwana yule
Dada ni mchokozi huyu.....Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
View attachment 708307
Dada ni mchokozi huyu.....
Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
View attachment 708307
Mbona alimpiga kipind kile???Hakuna mkate mgumu mbele ya chai