Shyrose Bhanji awapongeza Mama Janeth Magufuli na VP Samia kwa "Moyo wa Uvumilivu"

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
2018-03-08 22.54.53.png
 
Kitofa kizito katikati ya paji la uso la Mzito... ni kitofa ambacho wala hakina haja baadae ya kusema a/c ilikuwa hacked
 
Kada wa CCM Bi Shyrose Bhanji leo katika kusherehekea Siku ya Wanawake duniani amewatumia pongezi za kipekee Mama Janeth Magufuli na Mama Samia kwa MOYO WA UVUMILIVU...nafikiri ameacha tu kusema yeye yangemshinda..
View attachment 708307

Kuna Watu naamini kabisa japo ni Wasomi wazuri na wakubwa tu ila ' Spiral of Silence Theory ' ama wameisahau au hawajawahi kuipitia ili iweze kuwasaidia katika sehemu zingine ambazo huwa ' wanategwa ' au ' wanajitega ' wenyewe. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom