Shyrose Bhanji awapongeza Mama Janeth Magufuli na VP Samia kwa "Moyo wa Uvumilivu"

Kuna Watu naamini kabisa japo ni Wasomi wazuri na wakubwa tu ila ' Spiral of Silence Theory ' ama wameisahau au hawajawahi kuipitia ili iweze kuwasaidia katika sehemu zingine ambazo huwa ' wanategwa ' au ' wanajitega ' wenyewe. Naomba niishie hapa tafadhali.
una elimu ya kubahatisha
 
Tanzania hacker wapo juu sana,
watu wanadukua mpaka gazeti na mwenye gazeti anashtaki mahakamani,
kweli wapo juu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I know Dr.....there are so many hackers in our beloved country who’re trying their level best to hack in our accounts day in day out in order to send their negative messages to the best government in the World. :eek::eek::eek:

Subirini atakuja kukanusha kiwa account yake was hacked
 
Back
Top Bottom