ShyRose Banji mitaani na bodaboda, ni mtu wa WATU?

viongozi wa ccm wakishapata madaraka hawataki kujichanganya tena na wananchi...hii imenishangaza


sasa kwenye hiyo bodaboda kajichanganya na nani? kumbe nawewe thinking capacity yako ni too low!!!!
 
Je maamuzi ya wakubwa yalikuwa ni nguvu za soda? ama wao wenyewe ndo wanamiliki hizo pikipiki?


Hapa ndugu yetu akiwa anawahishwa uwanja wa ndege, kwa kutumia usafiri wa boda boda

3gfg.jpg
 
Kwahiyo mwendesha boda walau amefaidi kiasi chake joto,harufu ya pafyumu naaa...
Mimi ningetetemeka na kushindwa kuendesha maana kijoto cha hapo sipati picha, tena ningemuambia nishike kiunoni ili asianguke muheshimiwa
 
kutochinganya viongozi na raia ni kipimo tosha kwamba si waaminifu na ni wezi mbona wakiomba kura wanajichanganya
 
Hii kusema ukweli na mimi ilinitokea December 8 2011, siku moja kabla ya maadhimisho ya Uhuru, nilifika uwanjani kaunta zikiwa zimefungwa bahati yangu nilikua mgeni mwalikwa na Go Uganda, Rubani akapigiwa simu nikawahi lakn ilikua nimeshafeli tayari

Nani alikupigia simu? Yaanimwewe una degree ya uzamivu kwenye uongo..khaaaaa
 
Ajavaa kofia ngumu kwa usalama wake,pia kwa kutokuvaa kofia kwakwe anavunja sheria.askar wangemkamata na kumpa adhabu ya kufanya kaz za kijamii kama kufagia barabara.au adhabu ya kuzunguka naye kwenye vituo vya bodaboda na kutoa elimu ya uvaaj wa kofia kwa dereva na abiria.TENA KAMPEN INGEPEWA JINA LA "MWENDO MDOGO,KOFIA 2 HATUNA WAS WASI" Angefanya abiria wengne kusisitza uvaaj wa kofia na mwendo mdogo
 
Back
Top Bottom