ShyRose Banji mitaani na bodaboda, ni mtu wa WATU?

Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.

Kumbe unaujua usanii wa Lumumba.
 
Anakimbia foleni inayosababishwa na uzembe wa chama chake...
 
Hivi mtu akipanda boda boda ndiyo anakuwa mtu wa watu...hapo Msasani anakwepa foleni ni kawaida kwa maisha ya Dar, haujawahi kumuona Kinana anaendesha gari la waya.

Ni kama ambavyo mzee fulani anaenda kwenye misiba wanamwita mtu wa watu
 
Traffik mko wapi? Mkamateni huyu alivunja sheria. Kitendo cha kutovaa helmet dreva na abiria ni kosa
 
Wiki lililopita nimemsindikiza jamaa yangu alikua anakwenda Norway kutoka mwenge mpaka kuikuta tazara ilituchua karibu masaa matatu.Kama unataka kwenda airport ondoka kwako masaa 7 kabla.

na kama unakwenda zenji heri uende na boti utafuka mapema kuliko ndege
 
Kama unakwenda Ausha bora upande bus sasa tena linakukuta Mbezi mwisho kabisa maana ukiongeza na ku-check in masaa 9 na saa moja na nusu angani inafika masaa 11 wakati bus masaa 7 hivi upo Arusha na unakuwa umekagua shughuli za maendeleo kwa kuangalia mandhari

vijana arusha wamepewa bodaboda
 
»Naona Gari lake kaliacha kwa jaffarai yeye kachukua bodaboda za Shoppers anawahi airport(Kwa mujibu wa magazeti ya leo)
»Huyu dada anakaa Mabwepande au Mbweni?
 
Back
Top Bottom