Shyrose ailalamikia jamii forums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shyrose ailalamikia jamii forums

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Edward Teller, Mar 17, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  syrose.jpg
  [FONT=&quot]Mwanaharakati wa masuala ya kijamii, Shyrose Bhanji (pichani), ametoa kilio chake kutoka moyoni akilalamika kuchezewa rafu na wabaya wake, Amani Jipya linashuka nayo.

  HABARI KAMILI
  [/FONT]
  Shyrose alianza kuandika kwenye ukurasa wake katika ‘netiweki' ya kijamii ya Facebook mwishoni mwa wiki iliyopita kwamba, kuna kundi limeibuka ambalo kazi yake ni kumsema vibaya hivyo kutaka kujua amewakosea nini.

  Katika maelezo yake, mwanaharakati huyo alilitaja kundi hilo kwa jina la Jamiiforum kuwa ndilo lililo mstari wa mbele katika kumharibia sifa yake kila kukicha.

  Aliandika: "Naomba kuuliza, nimewakosea nini mpaka mnanisema vibaya sana?

  "Jamiiforum ndiyo mko mstari wa mbele kuniharibia kila siku! Nimewakosea nini? Wote mnaoniharibia sifa yangu mnaniumiza moyo wangu sana na hamnitendei haki."

  Alimalizia: "Kila mnaponiharibia, Mungu ananisaidia. Watch me (Niangalieni)."
  [FONT=&quot]

  Source-globalpublishertz

  [/FONT]
   
 2. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  we are watching her!
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Hajui hapa ni kijiwe cha shemeji zake wapya?
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimependa maana nae kumbe anasoma mambo ya humu jamii forums-
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...