Tumemfanya/ametufanya nini huyu dada?

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
SHY-RESE BHANJI
NUKUU

Naomba kuuliza nimewakosea nini mpaka mnanisema sana? Jamii forum ndio mko mstari wa mbele kunuharibia kila siku!!! Nimewakosea nn?!!, Wote mnaoniharibia sifa yangu mnaniumiza moyo wangu sana, na hamnitendei haki…. Kila mnaponiharibia Mungu atanisaidia. Watch me…. (kutoka Facebook)
MWISHO WA KUNUKUU
SOURCE: Gazeti la Mwananchi leo jumamosi 12 March 2011. Huenda wengine mlishaipata hii ila kwa wale ambao hatukuiona tuione maana jf ni mlalamikiwa mkuu.
NAWASILISHA
 
hadi mwananchi wameirusha..huyu dada kweli anautafuta umaafuru kwa mgongo wa jf
 
hadi mwananchi wameirusha..huyu dada kweli anautafuta umaafuru kwa mgongo wa jf

Mkuu, Mimi nimeishangaa hii ishu nikadhani labda kuna big ishu hapa jamvini ambayo mimi siijui.
 
kuna watu hawana kazi wakati wanpendana tunajua walitoana wapi,ustaarabu jambo la muhimu sana kuachana na mtu na kufanya matangazo ya biashara sidhani kama ni jambo la busara wangekaa kimya ,sio kuibua story za ajabu ajabu
 
You are right, mkuu jf is like a home to me, nikisikia kitu kibaya kuhusiana na jf, hasa kinachoweza kutuchafua sipendi
 
Shy Rose Banji hapaswi kuilaumu JF, bali JF ni jukwaa lisiloacha kitu kwa upande wa matukio na lake nalo lilikuwa ni tukio. Mimi nadhani JK, Rostam, Lowassa na wengine wengi wangeomba JF itutwe kama si kufungiwa milele kwa jinsi wanavyojadiliwa. Banji jifunze jinsi ya kuishi kama staa.
 
Huyu Dada Msuba unamchanganya na kuwananihiii wanawake wenzake ukaandike JF imekufanya nini?? Watu zaidi ya maelfu wako hapa wakujadili wewe.

Huna hata haya muone kwanza kamalizane na sharobaro wako hukoooooooooo tuondolee upuuzi wako.

Ningefurahi kama Shyrose Bhanji ungesoma hii comment yangu
 
Kama JF ndo ishu, basi aje hapa JF MMU aanzishe sredi ya kujitetea akumbane na akina WL, Michelle, Husninyo, Susy, DA, Gaga, WoS, AD na wengine wamueleze matatizo ya kuwa UNUNGAYAEMBE na kuzungusha kitumbua chake kwa kila kidume.
Jaman sisi vijana wadogo tujihadhali na hili jimama
 
Mwwehu tu ujana wake kala na nani, uzee anawapelekea watoto wa watu atuache wana JF sie tunadiscuss issue za jamii za kila siku na yeye aliweka headlines kwa nini asijadiliwe? hasira za kukosa ubunge asituletee humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom