Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Hiyo nayo ni hoja ya kuandika hapa ili watu wasome...?
we yako ipo wapo tuosome
Hiyo nayo ni hoja ya kuandika hapa ili watu wasome...?
Hapo ni blaha blaha tupu! Kwa nini aambiwe yeye tu na sio wabunge wengine wa tanzania?
Kwanini umeziamini tuhuma ambazo zinaweza kuwa za kufikirika? Kwangu mie yule aliyemtuhumu angenitoa wasiwasi wa alichokituhumu kama angeweka japo picha ikimuonyesha yupo kwenye ndege amefungwa pingu au hata amelewa au hata anagombana na mhudumu. Nyie mnataka mtuhumiwa ndo atoe ushahidi badala mngedai ushahidi kwa aliyeleta tuhuma. Kwa hali ilivyo wote wametoa tuhuma na utetezi tusioweza kuukataa au kuukubali. Lakini, sioni sababu ya nyie kuamini tuhuma na kuukata utetezi wake. Historia yake haiwezi kuwa sababu ya kuamini kuwa tuhuma ni za kweli.Sawa mimi sina tatizo na maelezo yake ila hajajibu shutuma zile za jana, kwa mfano:
Ni kweli mlienda hiyo safari?
ulikuwa na nani katika msafara wenu huo?
Nini kilichojili wakati wa safari hiyo? mkiwa angani na baada ya kufika?
Kuna mwendesha semina mmoja pale Mlimani City alikazana kuwaambia wanasemina wake "MNAPASWA KUWAZA NJE YA BOX".....Mmoja wa wanasemina alikerwa na kurudiwa rudiwa kwa kauli hiyo, akamuomba mseminishaji aeleze nini maana ya kuwa ndani ya box, nini maana ya kuwaza nje ya box na kwa namna gani mtu anawaza ndani au nje ya box...!! Bahati mbaya mseminishaji alishindwa kutoa ufafanuzi...kwa lugha nyepesi ailonekana kakariri msemo huo bila kuuelewa..macho_mdiliko ebu anzisha uzi mhususi utoe mhadhara juu usemi huo-KUWAZA NJE YA BOX
Wewe mwenyewe hapa tayari umewaza nje ya box kwa wazo lako hili zuri ndugu.
Sawa mimi sina tatizo na maelezo yake ila hajajibu shutuma zile za jana, kwa mfano:
Ni kweli mlienda hiyo safari?
ulikuwa na nani katika msafara wenu huo?
Nini kilichojili wakati wa safari hiyo? mkiwa angani na baada ya kufika?
Yani mnamsulubisha Mtanzania mwenzenu bila hata kuwa na ushahidi wakati anaitetea Tanzania?!
Tatizo hujielewi na wala hujui unatetea nini.Hapa kinachojadiliwa siyo kunywa pombe.Hoja ni kwamba kwa status aliyonayo hapaswi kufanya hayo ayafanyayo ilhali akiwa anapeperusha bendera ya Tanzania.Maana aibu inalikumba taifa na wala siyo yeye kama yeye.Kama hujaelewa mpaka hapo basi wewe akili yako ni kama ya MADENGE.
Ha ha ha ha unamdharau mtu ambaye hakujui mkuuHuyo Dada Sura Yake Tu Imekaa Kimatatizo Je Mnategemea Nini? Vitu Vingine Siyo Vya Kuvipotezea Muda! Nilikwisha Mdharau Siku Nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............ingi.
we yako ipo wapo tuosome
Binafsi sioni faida ya kuwa na hili bunge la East Africa.