Mkitaka kuwajua wanyarwanda kwa kuplot vitu ingieni jukwaa la kimataifa.Kama waliweza kumwambia Kikwete mhutu watashindwa kumtengenezea huyo mama.Huyu mama anawasumbua sana bungeni mule.
Mbona kama dada hajakanusha chochote?
Nilidhani niko mwenyewe!Mi mwenyewe sijaelewa ..naona kandika andika mavitu tu hata hayaeleweki
Hujui unachoongea..bar maid huyu amsumbue nani!?
huyu nae anataka kutumia turufu ya ''maslahi ya watanzania'' kuficha tabia yake mbovu iliyooza kama yai viza! Anajulikana na watu wa karibu yake kuwa ni mlevi na mgomvi na hali huwa mbaya sana anapolewa! Halafu anatumia ile ile mbinu mufilisi ya ma-ccm kusema ''lete ushahidi'' au ''wanataka kunichufua kwa sababu...''
Shy-Rose tunakufahamu vyema siku nyingi kuwa unapenda sana kutenda haki na wema kwa.watanzania wenzako na hicho ndicho kinawafanya watu waumie kwasababu unajenga jina lako
Binafsi nilikufahamu mwaka 2008 mwezi wa saba sikumbuki tarehe pale Steers ulikuwa umekaa meza ya kulia kwetu, nilichoshangaa ni pale ulipotulipia bill bila sisi kujijua na wala hukuwa unatujua isipokuwa tu ule u neighbor wa meza tulizokaa, Mungu akubariki sana Mama
Nahisi wewe utakuwa ni lile kundi la EBOLA (CCM).
huu utakuwa mpango wa komu na genge lake la chagadema tangu akose ubunge wa eac
.......Kama lilivyokuwa Bunge Maalumu la Katiba na sarakasi zao.Bunge la Afrika mashariki ni sehemu nyingine ambayo ni kijiwe cha kupatia riziki,
Umalaya ulimtongoza akakupa.acheni chuki Na majungu vijana . Hivi kunywa pombe Tanzania nzima anakunywa huyo dada peke yake?
Mkuu mimi nimewaza nje ya boksi ndio maana nikaja na hitimisho hilo.Habari kwa nini iwepo muda huu kwa tukio lililotokea wiki 2 zilizopita na baada ya mkutano kufanyika Kigali.Aliyeleta uzi kuhusu huyu mama alisema habari ya huyu mama imebandikwa kwenye tovuti ya bunge lao, nimeangalia tovuti yao hakuna kitu kama hicho.