KUDADADAIKYI"...
we dada chunga mdomo wako!
Spurce iko wapi isije ikawa umetumwa tu kumchafua Shy-Rose
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM
iko siku nitawaumbua tena
kwa majina yenu na ushahidi
kwamba mnajifanya
mnakipenda chama huku
mkisema vibaya pembeni...chama chetu
kinafanya vibaya kwanini
msiseme ukweli hadharani?
wengine wanadiriki hata kuwa
na accnt 2 au 3 kwenye fb,
moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli
kuhusu chama..mnachoogopa ni
kipi? kwa nini hamtaki kuwa
majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...
Source iko wapi isije ikawa umetumwa tu kumchafua Shy-Rose
Raha ni kuwa mwanachama wa chama kinachoshinda...kama haupo CCM, u are in the looserz sideanamchafua ama anamsafisha? unadhani ni sifa sana kushabikia ccm? unless una umri wa kingunge!