Drama queen!
hapo mwenzenu alikuwa anapiga debe la Ubunge si unajua eeeeti MTU WA WATU!
huyo mzee ndo anaiyetwa jaffarai ?
Naona anamnong'oneza, "Usinitafuteeee, Niko bize" . Naupenda sana ule wimbo!ha ha ha haa umenichekesha kweli.. Kwani umeona nini?
Typical CCM member... they are all alike!!! i have a proofDrama queen!
Huyo mzee ndo anaiyetwa Jaffarai ?
tusha yazoea haya kwa sisiemu......mkulu wake alikuwa anajifanya kukaa mavumbini...
Watu chuki zimewajaa, why can't u be just happy and positive?
Sasa huoni kwamba hapo hilo pozi ni la picha?hakuna chuki hapo kaka....wewe huoni dingi yupo very serious lakini huyo shy yupo kwa ajili ya foto tu tena kama ana kwepa hivi!