Kwani Jaffarai ni nani??????????
Huyo mzee ndo anaiyetwa Jaffarai ?
Nafasi yake NMB ndio inampa opportunity hiyo ya kuwa mtu wa watu otherwise sina uhakika kama angekuwa anafanya haya yotehapo mwenzenu alikuwa anapiga debe la Ubunge si unajua eeeeti MTU WA WATU!