Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
851
1,887
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka.

Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa.

Ilhali yeye mwenyewe ana ndoa yake tena ameipata kwa kuipambania kutoka kwa msanii wa nyimbo za injili angel Bernard.

Kwanza ndoa yake imekuwa ya migogoro sana mara zote mume wake amekuwa mtu wa kumpiga matukio ila akiwa madhabahuni kama hakuna kinachoendelea.

Wadada kuweni makini na wachungaji wenu.

Ndoa sio maigizo.

Anapenda UNFEMININE huyu dada.

Simsemi kwa ubaya.
 
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka.

Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa...

Aya namba moja 🤔
Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa.

Aya namba mbili 🤔
Kwanza ndoa yake imekuwa ya migogoro sana mara zote mume wake amekuwa mtu wa kumpiga matukio ila akiwa madhabahuni kama hakuna kinachoendelea.
 
Alianza Joyce Kiria kuwadanganya wanawake kuwa ndoa sio lazima, usingle mother unatosha, alipopata dume jipya akaolewa tena na kuwaacha solemba wafuasi wake.

Wanawake wengi ni wajinga, wanapenda kufarijiwa hata kwenye ujinga, ukishawasoma jinsi walivyo wajinga basi utawapiga pesa mpaka basi.
 
Kuolewa sio dhambi Wala kuwa single sio dhambi
 
Alianza Joyce Kiria kuwadanganya wanawake kuwa ndoa sio lazima, usingle mother unatosha, alipopata dume jipya akaolewa tena na kuwaacha solemba wafuasi wake.

Wanawake wengi ni wajinga, wanapenda kufarijiwa hata kwenye ujinga, ukishawasoma jinsi walivyo wajinga basi utawapiga pesa mpaka basi.
mimi yule kiria namwitaga ni shetani yezebeli kabisa, kwanza kitendo cha kukiri kwamba aliishi na yule dj miaka 8 akimbania asimzalie watoto, na kwamba aliolewa naye baada ya kupata shida ya kipesa hivyo hakumpenda ila alifuata pesa, na alipomsumbua sana akamaua kuachana naye kwa kukodi magari toka magomeni kuelekea kinondoni kuchukua talaka, nilimwona shetani kabisa. ameadanganya wanawake wengi sana, ila KIleo ndio hakuwa mjinga, alimzaba vibao na matukio juu. huyo zumbukuku ameokota UK ndio sijui naye ...., niishie hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom