Shwaini.....

Shwaini.....

Halafu baada ya kummeza huyo kiumbe,pata na hii kitu mbona utaona Bongo zaidi ya peponi.
images

Bila ya shaka yule jamaa anayeimba kamata chini kamatia chini madhabahuni akiona hii kitu mate yanamshuka tu.
 
Kuna mtaalamu mmoja pale Bunju A, yupo karibu na hostel ya masista wa shirika fulani la kikatoliki.
Anajua kuitengeneza hii kitu... Kwa walio itafuna siku hiyo walinisimulia kweli kwakua mimi ni ustaadh nilikua pembeni najigongea kwapa la jogoo wa kienyeji.
Mkuu ungetumia kigezo cha bin dharura upige hii kitu ni tamu mno.

Au kigezo cha kutokuchanganya Dini na mboga yaani unajipigia menu fresh
 
mletauzi umeniharibia siku kabisa hata chai siwez kula tena nasikia kichefuchefu
 
Hapa upate na safari bariiidiiiii yenye mchanganyiko na Guinness iliowekwa matone kadhaa ya teachers,haki ya Nani nyumbani utasalimiwa kwa lugha zote
Hahahahaha uko vizuri mkuu!
 
Walaji wataongezeka sana bz nasikia kutakua na njaa.
Hahaa sipati picha unakutana na ajuza anaagiza zake kanusu.
 
Umentamanisha mkuu, Ngoja nkamtembelee Kajogejo mtaalam wetu wa kuitengeneza hio kitu Buswelu na Mwanza mjin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom