KheeeeeAsa hapa mkuu tusiende mbali Sana hiii kazi ya kumalizana aidia nimeshakupa sasa...............UNAMPA SHINGAPI ILI NIKIMFUATA PM NIJUE NADAI NGAPI MKUU
Unajua shem na wew tayari umeacha njia iliyo sahihi
Ujue shemeji umeanza kutoka nje mada kisa kutuma mihamala.
Embu mambo ya birthday weka kando kwanza tulimalize hili lililopo mezani.



Ahahah yaan weweKabisaaa bwana Shem
Najiandaa kulala
Naomba nikuulizeNaomba mchango wako katka hili
Mkuu asante sana ubarikiweMkuu hata mm navutiwa na huyu mrimbende hata kama cmjui kw sura
Mida yetuNilijua umeenda kulala mana ndio mida yetu hii young


. Hili limenifikirisha sanaaHela bhanaMambo unayoyapenda hayo mbeba pochi wangu
Nilikia nasubiri hili swali dada nilijua lazima ungeulizaNaomba nikuulize
Uko na miaka ngapi???
Miaka ngapi vileeeThank you dear Sakayo. Acha nifanye mpango sasa nipate jiko umri umetosha
Hela ndio kila kituHela bhana
Nilijua umeenda kulala mana ndio mida yetu hii young
we kiboko , yani kama umejua hapa nipo kwa bed.Hahahaaa we jamaa lala tu kumbe unakoka moto kwa pembeniToa uwamuzi wa mwisho kwa kijana wetu basi mimi nimechoka kusubiri nataka nilale.![]()
Eeenh huwa ndio analala mida hiiMida yetu. Hili limenifikirisha sanaa
Toa uwamuzi wa mwisho kwa kijana wetu basi mimi nimechoka kusubiri nataka nilale.![]()






Najua ndio mida kwahiyo umelala mwenyewe na mito yako![]()
![]()
we kiboko , yani kama umejua hapa nipo kwa bed.
Nenda malizana nae, me tayari nimemaliza kazi yanguAsa hapa mkuu tusiende mbali Sana hiii kazi ya kumalizana aidia nimeshakupa sasa...............UNAMPA SHINGAPI ILI NIKIMFUATA PM NIJUE NADAI NGAPI MKUU
Asa hapa mkuu tusiende mbali Sana hiii kazi ya kumalizana aidia nimeshakupa sasa...............UNAMPA SHINGAPI ILI NIKIMFUATA PM NIJUE NADAI NGAPI MKUU







Kwani uongooooAhahah yaan wewe