Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Jaman si nilishajibu huko juuHuu sasa uonevu kwa upande mmoja. Hujanijibu bado bt sio lazima huyo young ajue![]()
Jaman si nilishajibu huko juuHuu sasa uonevu kwa upande mmoja. Hujanijibu bado bt sio lazima huyo young ajue![]()
Angalia hapo juuMiaka ngapi vileee
Yani acha tu, mwanamke yuko busy.Najua ndio mida kwahiyo umelala mwenyewe na mito yako
Ndiyo maana nilikwambia utakufa siku sio zako, achana na mali za watu kijana![]()

Basi wacha tuwe njia moja shem, ila jitahidi tusipoteane. Ujue mie naanza kupata mashaka mbona shemeji yangu akiskia mambo ya mihamala anapotea njia?
Sasa tuwe njia moja maana mambo ni magumu kidogo.

Ney mbavu zanguNi mida yake basi sio yenuEeenh huwa ndio analala mida hii
WeeeeeSawa
Mlale unono
Ndio umeifikisha leo30 shem
AmeenAsante young na kwako pia Yesu akulinde
Ulifikiri ule wimbo wa zilipendwa maromboso alipo imba ......WALE WAPIGA MADILI SASA HALI MBAYA ulimlenga Nani hasa?

BadoEbu niambie amekujibu
Hapana huyo ndio kila kitu kwangu huwa ananiuliziaNilitamani sana ungelieliza wewe
Amependwa Shunie mkuu sio gizakupenda giza nako ni upendo ....
Mida yetu mwenyewe mda si mrefu napoteaNi mida yake basi sio yenu
Kwahiyo ni mkubwa eenh sio Ben10 dadaWoyoooooo
Shunie ukuje
Basi wacha tuwe njia moja shem, ila jitahidi tusipoteane. Ujue mie naanza kupata mashaka mbona shemeji yangu akiskia mambo ya mihamala anapotea njia?
Sasa tuwe njia moja maana mambo ni magumu kidogo.

AminaSawa
Mlale unono