makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,993
- 104,502
Nipo hapa nasubiri jibu lake ndugu yangu.Maka akikujibu uniite
Nipo hapa nasubiri jibu lake ndugu yangu.Maka akikujibu uniite
MmmmhKwahiyo ni asali hiii hii ya nyuki ninayoijua au kuna nyingine
Shunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yakoHapana jaman usiseme hivyo




Wanyonyoe manyoya tu shunie akee maana hakuna namna, au we hutaki mapauni shunie akee!!Nipo maka akee watu wamezimikia muandiko na avatar fake
Hiyo kauli sijaipenda, style ya kumsifia kumbe ni ubahili, utapoteza bahati sasa.Hahahahahaa nimecheka aisee, wazo murua kwa wakati muruaaa...kwa jinsi nilivyo sasa Tigo pesa yake lazima isome but ni mwanamke asiekuwa na tamaa na cha mtu
Woyooooyaan wewe mtumie sakayo ataniforwadia mahela hayo
Ndo hivyo mkuu vyuma vimekaza ukiona mwenzako grisi inataka kumuangukia tunageuka madalali nasisi tule kidogo






Pita mitaa fulan hapo uone nilivyokomaa shemHaya maneno ya kukata tamaa mie ndio sitaki kuyaskia, embu komaa kiume Shem


NipoCC:Sakayo![]()
Jaman Happy birthday to u G Mungu wetu azidi kukulinda na kukutunza akubariki na kukupa maisha marefuUnajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!


Nakuona ujue
Hapo mwanamke asiyekuwa na tamaa na cha mtu ndio ninii tena







Haya maneno ya kukata tamaa mie ndio sitaki kuyaskia, embu komaa kiume Shem






Happy birthdayUnajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!
Ahahahaaa kauli hiyo haina maana hiyoHiyo kauli sijaipenda, style ya kumsifia kumbe ni ubahili, utapoteza bahati sasa.
Sakayo wangu upo kumbee, umemaliza kuandaa dinna bila shakaWoyoooo
OmgShunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako
Acha nimalizie kueleza hisia zangu hapa then nilale usingizi mzitoooo

unataka kuniliza we mkaka jaman usinifanyie hivyo mpaka nimejisikia vibaya umeongea kwa hisiaNaomba mchango wako katka hiliNipo