GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,161
- Thread starter
- #541
Ahsante sana Shunie wanguJaman Happy birthday to u G Mungu wetu azidi kukulinda na kukutunza akubariki na kukupa maisha marefu![]()



Ahsante sana Shunie wanguJaman Happy birthday to u G Mungu wetu azidi kukulinda na kukutunza akubariki na kukupa maisha marefu![]()



Maka me ni muoga unions hivi hiviWanyonyoe manyoya tu shunie akee maana hakuna namna, au we hutaki mapauni shunie akee!!
AiseeShunie seriously nakupenda, i dont care any situation, elewa tu hivyo, whether utakuwa wangu or not we kila ukifungua app ya JF ujue kuna mtu mda wote yuko humu ndani kwa ajili yako
Acha nimalizie kueleza hisia zangu hapa then nilale usingizi mzitoooo
Hiyo kauli sijaipenda, style ya kumsifia kumbe ni ubahili, utapoteza bahati sasa.





Mambo unayoyapenda hayo mbeba pochi wanguWoyoooo
Thank you dear Sakayo. Acha nifanye mpango sasa nipate jiko umri umetoshaHappy birthday
He he mihamala ndio kila kitu Ney
Shunie upo makini na mihamala jamani
Unajua leo ni Birthday yangu, nimekuja kumbushwa na msg ya FB mda huu, nlikuwa sielewi kwann nimekuwa wa tofauti siku nzima ya leo, naona pia wewe umekuwa sehem ya furaha yangu leo lol!!!





Nilijua umeenda kulala mana ndio mida yetu hii youngAisee
Ndege mwoga huwa ana watoto wengi au kizazi chake ni kingi. Sijui kam nimepatiaMaka me ni muoga unions hivi hivi


Toa uwamuzi wa mwisho kwa kijana wetu basi mimi nimechoka kusubiri nataka nilale.

Me nakuombea upate jiko la kufanana na wewe akupende kwa kila kitu na usiache kumuomba Mungu akupe mke sahihiThank you dear Sakayo. Acha nifanye mpango sasa nipate jiko umri umetosha
Ujue shemeji umeanza kutoka nje mada kisa kutuma mihamala.
Embu mambo ya birthday weka kando kwanza tulimalize hili lililopo mezani.




Ney
Young nimeshamjibu mm ndio mana nashangaa hulali mana ndio midaToa uwamuzi wa mwisho kwa kijana wetu basi mimi nimechoka kusubiri nataka nilale.![]()
Madalali utawajua tuAsa hapa mkuu tusiende mbali Sana hiii kazi ya kumalizana aidia nimeshakupa sasa...............UNAMPA SHINGAPI ILI NIKIMFUATA PM NIJUE NADAI NGAPI MKUU

Basi sawa hamna nenoAhahahaaa kauli hiyo haina maana hiyo
Kabisaaa bwana ShemSakayo wangu upo kumbee, umemaliza kuandaa dinna bila shaka