Shule zenye ada ndefu zaidi Tanzania

Unafikiri kupata divisheni one ndio elimu bora? Kalaghabao!

Mfuate yule dogo wa simiyu umdadisi.. si ajabu hajui hata Kiswahili lakini kapata "A" ya Kiswahili.

Hiyo ndiyo elimu ya kindalichako ndalichako!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie jamaa hajui tu.Hizi shule za kata hizi marks wanazopata Zina siasa ndani yake.Halafu watoto wanaosoma hizi shule za bei ndefu wanajielewa aiseee na Exposure yao Ni kubwa.Sema kwenye kusoma hawajitumi kihivyo wanasoma kwa luxury Sana pia michezo wanazingatia Sana.Ni watoto wanaosoma bila stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wote tunakutana udom tena koz moja


Sent from my iPhone using JamiiForums
Jidanganye hivyo hivyo.Watoto wengi wanaotoka kwenye hiyo mitaala ya IB au Cambridge target yao ya vyuo Wala sio UDSM Wala UDOM.Nenda pale Mzizima Agha Khan utakuta vyuo wanavyowaza Ni vya Ulaya huko na America yaani vyuo vya Bongo havipo kwenye mahesabu yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipeni moyo! Nyie ndio wahitimu msioweza kuongea hata sentensi mbili za Kiswahili kinachoeleweka!

Kiingereza hamjui, Kiswahili hamjui, uwezo duni wa kazi.... kumbe tatizo linaanzia huko kwenye mashule yenu ya kata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anajifariji bure.Nahisi hazijui hizo shule vizuri na watoto wanaosoma humo.Huko UDOM watoto wa IST sijui hata mmoja Kama yupo.Wengi wao wanaenda vyuo vya mbele.Halafu watu wakae wakijua Background ya Secondary in matter Sana aiseee.Siku watu wakianza kufuatilia watu wa vitengo maalum utakuja gundua lazima wametoka shule maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15H4C9M1

Japokuwa kuna mtu hapo kaongea kiushabiki kiukweli hizo shule sio za watu maskini hata kwa standards za dunia ya kwanza, shule kama IST hata the median (typical) household in America(has a net worth of less than $15,000, excluding home equity) hawawezi ku-afford. Hizo shule zinawalenga senior expatriate officials ambao pia hata wao hulipiwa na ofisi zao kwa asilimia kubwa na watoto wa wafanyabiashara wakubwa nchini .

Na wanafunzi wanaomaliza hizo shule wengi wao wanakwenda kusoma vyuo vya America au ulaya maana ukimaliza IB Diploma ktk hizo shule ni rahisi sana kujiunga na chuo chochote kile hapa ulimwenguni hasa hasa ukiwa umefanya vizuri. Pia, kuhusu kusoma hapa nchini hutokea mara moja moja sana maana elimu ya vyuo vya Afrika Mashariki ni hovyo sana atleast Afrika kusini kwa hapa Afrika na kwenyewe kuna vyuo viwili vya maana kidogo (UCT na Pretoria). Kuna Rafiki yangu alimaliza IB diploma IST alisoma chuo kikuu cha Dar es Salaam japokuwa alipata chou kikuu cha Chicago aliamua kubaki hapa hapa.


Kuhusu kazi baadhi yao pia tupo nao maofisini hapa hapa bongo wengine wakimaliza vyuo hurudi mfano kuna mmoja nipo nae ofisini ni mchumi mwenzangu alimaliza Princeton University mwaka 2010 ktk kampuni ya mafuta na gesi na wengi sana wapo ktk auditing firms kama business analysts wawili wapo Delloitte mmoja kamaliza Harvard University (Econ 16') na mwingine kamaliza Yale University. Wote hao wamesoma IST au ISM pia almost wote ambao niliokutana nao makazini wamesoma Ivy league schools au vyuo vikubwa ulimwenguni maana yangu hapa wanakuwa na nafasi kubwa ya kufanya kazi mahala ppte duniani kwa reputation ya chuo alichosoma ukilinganisha na chuo kikuu cha Dar es Salaam au Nairobi au Makelele.

Kama una mfuko mpana ni shule nzuri sana kumsomesha mwanao zinampa exposure na platform nzuri ya kuwa global citizen tofauti na mtu wa style yangu niliyepita ktk mazingira ya kimaskini kidato cha kwanza mpaka cha sita ada elfu 70 kwa mwaka.
Nyambafu sana we mkuu!!Umepiga za uso haswa,asie kuelewa hana namna nyingine ya kuelewa.

Huu ni ukweli ulioongea ingawa ni mchungu kuumeza.

Hebu chukua nyagi moja nakuja kulipa.

Hehehehehe!!
 
Jidanganye hivyo hivyo.Watoto wengi wanaotoka kwenye hiyo mitaala ya IB au Cambridge target yao ya vyuo Wala sio UDSM Wala UDOM.Nenda pale Mzizima Agha Khan utakuta vyuo wanavyowaza Ni vya Ulaya huko na America yaani vyuo vya Bongo havipo kwenye mahesabu yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi lakini umezungumza kinadharia sana pasipo vitendo.

Kwani wakiwaza kusoma shule za ulaya/amerika wakati bado wapo kwenye hizi shule tunazozizungumzia ndio itakuwa kweli na lazima waende huko nje kusoma?

Kuna risks nyingi sana ktk maisha zinazoweza kusababisha kijana asiende huko hatimaye akageukia vyuo kama St.John,SAUT,KIA,RUCO,SECUCO, nk.

Maisha ya leo sio ya kesho.
 
Back
Top Bottom