Shule zenye ada ndefu zaidi Tanzania

Shule zenye ada ndefu zaidi Tanzania

Na wote tunakutana udom tena koz moja

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jipeni moyo! Nyie ndio wahitimu msioweza kuongea hata sentensi mbili za Kiswahili kinachoeleweka!

Kiingereza hamjui, Kiswahili hamjui, uwezo duni wa kazi.... kumbe tatizo linaanzia huko kwenye mashule yenu ya kata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiuhalisia mzazi anayepeleka mtoto wake wa miaka 3 shule ya awali na kulipa kuanzia 10m na baadae kumpeleka msingi na upili kwa ada ya zaidi ya 30m usitegemee huyo mzazi kuwa na pesa za mawazo lakini pia usitegemee huyo mtoto kukutana nae udsm,udom,cbe,ifm,dit nk..
Mfano mzuri ni Mo wa MeTl kasoma IST kama sijakosea na chuo kasoma Uingereza na sasa anasimamia makampuni ya familia,hata wanafunzi wengine tusio wajua kama Mo waliopita shule hizo wengi wanaenda mbele na ndiyo hawa hata wakirudi nchini kama ni Watz utakuta wanasimamia makampuni makubwa sana hapa nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said, Hawa ni dunia mbili tofauti, theres no way wakakutana na watoto wa kata, hata mitaala yao sio ya kukariri kama yetu.
 
Noma kweli mie Primary nalipa 2m kwa mwaka lakini nanga inapaa,je hao wanaolipa 71m inakuwaje? Nawakumbusha wazazi kuna MJITA Kapiga A Tisa kwenye shule ya Kata.
 
15H4C9M1

Japokuwa kuna mtu hapo kaongea kiushabiki kiukweli hizo shule sio za watu maskini hata kwa standards za dunia ya kwanza, shule kama IST hata the median (typical) household in America(has a net worth of less than $15,000, excluding home equity) hawawezi ku-afford. Hizo shule zinawalenga senior expatriate officials ambao pia hata wao hulipiwa na ofisi zao kwa asilimia kubwa na watoto wa wafanyabiashara wakubwa nchini .

Na wanafunzi wanaomaliza hizo shule wengi wao wanakwenda kusoma vyuo vya America au ulaya maana ukimaliza IB Diploma ktk hizo shule ni rahisi sana kujiunga na chuo chochote kile hapa ulimwenguni hasa hasa ukiwa umefanya vizuri. Pia, kuhusu kusoma hapa nchini hutokea mara moja moja sana maana elimu ya vyuo vya Afrika Mashariki ni hovyo sana atleast Afrika kusini kwa hapa Afrika na kwenyewe kuna vyuo viwili vya maana kidogo (UCT na Pretoria). Kuna Rafiki yangu alimaliza IB diploma IST alisoma chuo kikuu cha Dar es Salaam japokuwa alipata chou kikuu cha Chicago aliamua kubaki hapa hapa.

Kuhusu kazi baadhi yao pia tupo nao maofisini hapa hapa bongo wengine wakimaliza vyuo hurudi mfano kuna mmoja nipo nae ofisini ni mchumi mwenzangu alimaliza Princeton University mwaka 2010 ktk kampuni ya mafuta na gesi na wengi sana wapo ktk auditing firms kama business analysts wawili wapo Delloitte mmoja kamaliza Harvard University (Econ 16') na mwingine kamaliza Yale University. Wote hao wamesoma IST au ISM pia almost wote ambao niliokutana nao makazini wamesoma Ivy league schools au vyuo vikubwa ulimwenguni maana yangu hapa wanakuwa na nafasi kubwa ya kufanya kazi mahala ppte duniani kwa reputation ya chuo alichosoma ukilinganisha na chuo kikuu cha Dar es Salaam au Nairobi au Makelele.

Kama una mfuko mpana ni shule nzuri sana kumsomesha mwanao zinampa exposure na platform nzuri ya kuwa global citizen tofauti na mtu wa style yangu niliyepita ktk mazingira ya kimaskini kidato cha kwanza mpaka cha sita ada elfu 70 kwa mwaka.😀
 
yaani wewe hunielewi nachokisema huko huwezi kukuta michujo kama inayofanyiwa huku kwenye shule unazoziona zinafaulisha sana kwa taarifa yako mfano shule iliyokuwa ya kwanza mwaka huu mmiliki anashule mbili vilaza wote kawahamishia shule nyingine ya kwake hapo kabakisha krimu tupu kwanini wasiwe wa kwanza sasa kule mtu analipa milioni 50 halfu umhamishie kwa mabwege nani atakubali acha ujinga kunguru wewe
Sawa ila hili swala halikuhusu bado sababu hauna uwezo wa kipesa waache wenye pesa wapeleke wanao huko wewe deal na kata hapa ndo nataka tuelewane HILI HALIKUHUSU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15H4C9M1

Japokuwa kuna mtu hapo kaongea kiushabiki kiukweli hizo shule sio za watu maskini hata kwa standards za dunia ya kwanza, shule kama IST hata the median (typical) household in America(has a net worth of less than $15,000, excluding home equity) hawawezi ku-afford. Hizo shule zinawalenga senior expatriate officials ambao pia hata wao hulipiwa na ofisi zao kwa asilimia kubwa na watoto wa wafanyabiashara wakubwa nchini .

Na wanafunzi wanaomaliza hizo shule wengi wao wanakwenda kusoma vyuo vya America au ulaya maana ukimaliza IB Diploma ktk hizo shule ni rahisi sana kujiunga na chuo chochote kile hapa ulimwenguni hasa hasa ukiwa umefanya vizuri. Pia, kuhusu kusoma hapa nchini hutokea mara moja moja sana maana elimu ya vyuo vya Afrika Mashariki ni hovyo sana atleast Afrika kusini kwa hapa Afrika na kwenyewe kuna vyuo viwili vya maana kidogo (UCT na Pretoria). Kuna Rafiki yangu alimaliza IB diploma IST alisoma chuo kikuu cha Dar es Salaam japokuwa alipata chou kikuu cha Chicago aliamua kubaki hapa hapa.

Kuhusu kazi baadhi yao pia tupo nao maofisini hapa hapa bongo wengine wakimaliza vyuo hurudi mfano kuna mmoja nipo nae ofisini ni mchumi mwenzangu alimaliza Princeton University mwaka 2010 ktk kampuni ya mafuta na gesi na wengi sana wapo ktk auditing firms kama business analysts wawili wapo Delloitte mmoja kamaliza Harvard University (Econ 16') na mwingine kamaliza Yale University. Wote hao wamesoma IST au ISM pia almost wote ambao niliokutana nao makazini wamesoma Ivy league schools au vyuo vikubwa ulimwenguni maana yangu hapa wanakuwa na nafasi kubwa ya kufanya kazi mahala ppte duniani kwa reputation ya chuo alichosoma ukilinganisha na chuo kikuu cha Dar es Salaam au Nairobi au Makelele.

Kama una mfuko mpana ni shule nzuri sana kumsomesha mwanao zinampa exposure na platform nzuri ya kuwa global citizen tofauti na mtu wa style yangu niliyepita ktk mazingira ya kimaskini kidato cha kwanza mpaka cha sita ada elfu 70 kwa mwaka.[emoji3]
Mkuu,ni kweli tupu. Umemaliza kila kitu. Yupo mtoto wa mama mmoja,yeye kijana wake alisoma shule ya msingi hizi za kawaida,ila alikua yuko vizuri(ile natural), pale IST huwa kuna nafasi chache,kwa wenye connection,hufanyika mitihani ambapo wale wanaofaulu vizuri huchukuliwa secondary na ufadhili wa bure(nafikiri ni mchango wao IST kupata wazawa angalau kuchanganya vipaji)
Sasa yule kijana,akafanikiwa kusoma pale na kumaliza. Hapa ninapotuma msg hii,yuko Lebanon tawi la chuo kikuu cha Marekani.
Hivyo ni kweli,ukitoka pale vyuo utakavyosoma ni vya level ya juu,pia kama nilivyosema,ukitoka shule za kawaida,unapikwa ili kuingia IST,hiyo inafuta dhana ya mchangiaji aliyesema watoto wa pale hawawezi kupambana na shule za mitaala ya Kibongo kama st Francis,Marian au Feza schools.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom