Shule zenye ada ndefu zaidi Tanzania

Kuna dogo nimeongea naye bongo, wanampeleka mtoto shule ada ya $7,500.

Mtoto ndo anaanza msingi.

Nikasema hongereni.
 
Na wote tunakutana udom tena koz moja


Sent from my iPhone using JamiiForums
mtu anauwezo wa kulipa 50mil kwa mwaka akasome na wewe udom..yaani ashindwe kwenda hata hapo nairobi aje asome na wewe udom acha utani mzee, asilimia kubwa ya hawa wanafunzi wanakuwa connected moja kwa moja na vyuo vya nje...wengine wanabaki hapahapa africa lakini sio Tanzania...baba anahela aache kwenda south africa au ulaya akasome na wewe udom..
 
Back
Top Bottom