Shule za Tanzania Mweee

IMG_8683.jpg
 






Serikali yetu inashindwa kuweka shule za kisasa? Madini tunayo dhahabu tunayo alamsi tunayo bado ni masikini? kama sio wizi wa viongozi wetu nani wa kulaumiwa?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni aibu na sura halisi ya usanii wa Kikwete. Hivi kweli haya ndiyo maisha bora aliyoahidi? Ajabu, kila siku anaunguza mabilioni ya shilingi akizurura na mkewe ughaibuni! Ajabu analala kitanda kimoja na mafisadi wanaoiba mabilioni kila siku! Ajabu bado anaona ameleta maendeleo wakati ukweli ni kwamba ameleta balaa na maanguko ya ajabu! Kama kuna balaa linaloikabili Tanzania si jingine bali utawala wa Kikwete na yeye mwenyewe na genge lake. Hata hivyo hii itamsumbua vipi wakati watoto wake wanasoma nje au kwenye shule za kimataifa?
 
Jk alisema ifikapo 2015 kila mwanafunzi wa primary school atakuwa ana kompyuta yake..aliyasema haya akifungua tawi la crdb pale marangu...sitaisahau hii maana nilikuwepo....
 
Back
Top Bottom