Shule za nyingi za Kata Msingi na Sekondari zina shida kubwa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Ukitaka kujua ubovu wa elimu ya Tanzania take a time mara moja moja upite ukague mazingira ya shule hizi.

1 Shule hazina usimamizi hata kidogo, hata uliopo ni mbovu kupindukia.
2. Wanafunzi hawajui wanafika saa ngapi shuleni
3.Ukikaa karibu na shule huwezi kuelewa mda wa mapumziko na mda wa darasani ni upi
4. Makele darasani ni ya kutisha
5. Watoato wanzagaa kwenye vibanda vya mangi kununua sambusa mda wote
6.Watoto wanazurura sana.
7. Vibinti vya secondary vingi ni malaya na vijana wa kiume wanavaa hovyo hovyo

kiufupi hizi shule hazina usimamizi na zimetelekzwa sijui watoto huko huwa wanasoma nini?
ni aibu na inatia huruma kwa hawa watoto maana naona kama wametelekezwa au kutupwa

Ushauri wangu
1. Shule ziwe na uzio

2. Kila shule Pawepo walimu wa nidhamu kuismamia tabia na mienendo ya wanafunzi tu.

3. Ukaguzi lazima uwepo kuhakikisha walimu wanatimiza wajibu wao

St Kayumba ya sasa na ya miaka ya 80/90 ni vitu viwili tofauti kabisa

Poleni watoto wa St kayumba
 
Ukitaka kujua ubovu wa elimu ya tanzania take time mara moja moja upite ukague mazingira ya shule hizi.
  1. 1 Shule hazina usimamizi hata kidogo, hata uliopo ni mbovu kupindukia.
  2. 2. Wanafunzi hawajui wanafika sa ngapi shuleni
  3. 3.Ukikaa karibu na shule huwezi kuelewa mda wa mapumziko na mda wa darasani ni upi
  4. 4. Makele darasani ni ya kutisha
  5. 5. Watoato wanzagaa kwenye vibanda vya mangi kununua sambusa mda wote
  6. 6.Watoto wanazurura sana.
  7. 7. Vibinti vya secondary vingi ni malaya na vijana wa kiume wanavaa hovyo hovyo

kiufupi hizi shule hazina usimamizi na zimetelekzwa sijui watoto huko huwa wanasoma nini?
ni aibu na inatia huruma kwa hawa watoto maana naona kama wametelekezwa au kutupw
a

Una umri gani kijana? Maisha unayoishi umeyapambania mwenyewe au umejikuta mambo safi bila kujua kiini cha kipato cha maisha yako? (Rushwa, madawa ya kulevya, ufisadi, dhuruma, wizi, umalaya, n.k.). Hizo shule unazozitukana zaidi ya 50% ya wanafunzi wa vyuo vikuu wamesomea shule hizi hizi! Hiyo ndo hali halisi ya watanzania!
 
Ukitaka kujua ubovu wa elimu ya tanzania take time mara moja moja upite ukague mazingira ya shule hizi.
  1. 1 Shule hazina usimamizi hata kidogo, hata uliopo ni mbovu kupindukia.
  2. 2. Wanafunzi hawajui wanafika sa ngapi shuleni
  3. 3.Ukikaa karibu na shule huwezi kuelewa mda wa mapumziko na mda wa darasani ni upi
  4. 4. Makele darasani ni ya kutisha
  5. 5. Watoato wanzagaa kwenye vibanda vya mangi kununua sambusa mda wote
  6. 6.Watoto wanazurura sana.
  7. 7. Vibinti vya secondary vingi ni malaya na vijana wa kiume wanavaa hovyo hovyo

kiufupi hizi shule hazina usimamizi na zimetelekzwa sijui watoto huko huwa wanasoma nini?
ni aibu na inatia huruma kwa hawa watoto maana naona kama wametelekezwa au kutupw
a

Ushauri wangu
1. Shule ziwe na uzio
2. Kila shule Pawepo walimu wa nidhamu kuismamia tabia na mienendo ya wanafunzi tu.
3. Ukaguzi lazima uwepo kuhakikisha walimu wanatimiza wajibu wao

St Kayumba ya sasa na ya miaka ya 80/90 ni vitu viwili tofauti kabisa

Poleni watoto wa St kayumba
Uongo angalia matokeo

Ya shule vipaji maalumu za Serikali utakaa chini
 
Hizo ndizo shule bora kuliko hizo zingine. Kwanza ni za serikali na serikali inazihudumia vizuri shule zake. Walimu wake wanafundisha bila hofu tena kwa scale ya mshahara unaoeleweka. Walimu wake wote wana taaluma rasmi ya ualimu sio kama huko kwingine walimu ni wa kuokoteza form four flat, form six flat, wahitimu wa fani zisizo za ualimu ili mradi tu wanajua kubabaisha wanafunzi kwa kiingereza kibovu huku wakilipwa mishahara ya ajabu isiyoendana na scale za serikali. Walimu wengine ni wanandugu waliowekwa kimkakati kama mashushushu kufuatilia utendaji kazi wa makanjanja walimu wao. Yaani huko kwingine ni pa hovyo sana na wazazi wengi hawajui udhaifu wake
 
Chuo kikuu wote waliojazana kusoma degee wote ni shule za private? Kaangalie wajiunga chuo.kikuu cha Dar es salaam

Shule za private ni asilimia ndogo sana wengi wanatoka shule za Serikali
Sikia nikwambie,
Wanaoingia chuo mostly wametoka form 6,waliingia form 4 katika shule za serikali kupitia private schools (fuatilia mwaka jana tabora boys form 5, 60%walikuwa private).
Hao wana pesa, wanasoma tuition za gharama ile likizo ya form 4.

Mwalimu wa shule ya serikali katika special school ana mchango mdogo sana katika ufaulu wa mwanafunzi.

Even though,huwezi ukasifia shule moja ya serikali wakati kuna shule 99 zinazofanya vibaya.
 
Hizo ndizo shule bora kuliko hizo zingine. Kwanza ni za serikali na serikali inazihudumia vizuri shule zake. Walimu wake wanafundisha bila hofu tena kwa scale ya mshahara unaoeleweka. Walimu wake wote wana taaluma rasmi ya ualimu sio kama huko kwingine walimu ni wa kuokoteza form four flat, form six flat, wahitimu wa fani zisizo za ualimu ili mradi tu wanajua kubabaisha wanafunzi kwa kiingereza kibovu huku wakilipwa mishahara ya ajabu isiyoendana na scale za serikali. Walimu wengine ni wanandugu waliowekwa kimkakati kama mashushushu kufuatilia utendaji kazi wa makanjanja walimu wao. Yaani huko kwingine ni pa hovyo sana na wazazi wengi hawajui udhaifu wake
comment yako inasikitisha , we ni zao la st kayumba
 
Kwa threads kama hizi, ndio maana vijana mnapata wakati mgumu kuaminika katika nyadhifa za kimaamuzi.

Mnakurupuka sana ku rationalize mambo.
 
Elimu ya chuo yenyewe tu saivi magumashi
kijana ukiwa na hela tu sasa hivi we ni msomi mkubwa na bungeni unaingia na kupewa heshima zote huku ukiwaacha graduate wakisoneneka mitaani na vyeti vyao
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwa threads kama hizi, ndio maana vijana mnapata wakati mgumu kuaminika katika nyadhifa za kimaamuzi.

Mnakurupuka sana ku rationalize mambo.
We ushauri wako ni upi? Siku hizi Walimu shule wanazofundisha watoto wao hawasomi hapo what do you expect? Hata mtoto wa diwani humkuti st kayumba
 
Back
Top Bottom