The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,303
Ukitaka kujua ubovu wa elimu ya Tanzania take a time mara moja moja upite ukague mazingira ya shule hizi.
1 Shule hazina usimamizi hata kidogo, hata uliopo ni mbovu kupindukia.
2. Wanafunzi hawajui wanafika saa ngapi shuleni
3.Ukikaa karibu na shule huwezi kuelewa mda wa mapumziko na mda wa darasani ni upi
4. Makele darasani ni ya kutisha
5. Watoato wanzagaa kwenye vibanda vya mangi kununua sambusa mda wote
6.Watoto wanazurura sana.
7. Vibinti vya secondary vingi ni malaya na vijana wa kiume wanavaa hovyo hovyo
kiufupi hizi shule hazina usimamizi na zimetelekzwa sijui watoto huko huwa wanasoma nini?
ni aibu na inatia huruma kwa hawa watoto maana naona kama wametelekezwa au kutupwa
Ushauri wangu
1. Shule ziwe na uzio
2. Kila shule Pawepo walimu wa nidhamu kuismamia tabia na mienendo ya wanafunzi tu.
3. Ukaguzi lazima uwepo kuhakikisha walimu wanatimiza wajibu wao
St Kayumba ya sasa na ya miaka ya 80/90 ni vitu viwili tofauti kabisa
Poleni watoto wa St kayumba