PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Tukumbushane kama wewe ulisoma bweni miaka ya 90 hadi 2000.
Shule zilikuwa na burudani sana na kitabu pia kilipigwa hasa. Ila uzi huu ni maalumu kukumbushana burudani za mziki na hata mpira
Kipindi hicho ilikuwa inaruhusiwa kupigwa disco mpaka asubuhi Disco hasa zilipigwa wakati wa sherehe za kidato cha nne na sita, ama pale shule zinapotembeleana kwa ajili ya debate mchana usiku disco kwa boys vs girls school,
Binafsi nilikuwa naenjoy sana kwenye moment ya kufungua disco, nakumbuka tulialikwa shule moja ya Nganza sec school wakati wa mahafari ya form 4, nilikuwa kwenye list ya kufungua mziki... Dj akaweka kitu cha keith sweet...No body, dahh nilikamatilia mtoto mmoja mrefu white yaan....siyo kuchafuana boxer huko...ilikuwa baabu kubwa sana,
Mnaokumbuka style za kudamsh kipindi hicho..unapiga raba nike au rebook au Adidas... juu vest white au ya NBA no 23 mgongon, suluali unakunja kidogo mguu mmoja ... sasa ndani ya disco zile taa za blue full kung'aaaa.
Kiukweri bweni ilikuwa rahaaaa sana .... share trip moments gani unakumbuka
Ngoma kali sana kama hizi zilitamba sana huko
Dear mama
Keep ur head ring
Daz flex na.ngoma zao
Keep on keeping on
5 O'Clock
Big na ngoma zake
Lost boyz ngoma zao kama rising to the top nk
Sent using Jamii Forums mobile app