Siyo miaka ya tisini(90's)
Nakumbuka tuko form six, Mimi na washkaji kadhaa tulivamia disko la welcome first year chuo fulani.
Mida ya saa 7 hivi tunarudi shule , ghafla pila mbili hizo zikaingia kwenye njia yetu, tumepigwa full light machoni askari kama kumi hivi wa patrol wakamwagika.
Ilikuwa mara yangu ya kwanza kwenda disko, kulala cello , kufukuzwa shule na kugundua kuwa mzee wangu ana uwezo mzuri tu wa kucheza mieleka.
Aisee!!
Sema, those were the good old days and I miss them. Adventure nilizozipata kwenye shule za bweni ningetamani mwanangu baadae azipate.