kwenye mabano hapo unatumia akili kweli wewe(tabora boys)
kisutu
kwenye mabano hapo unatumia akili kweli wewe
upuuzi mtupu unaongeasasa dharau ya nini, si umwambie kuwa anahitaji za kike/wasichana. Dharau ya nini, sijui watu wengine mkoje
upuuzi mtupu unaongea
toa upuuzi wako hapa husomi post vizuri unakuja kuleta upuuzi wako amesema shule za wasichanawewe hujaenda shule nina uhakika kama shule ni ya ngumbalu , kwa heri hopeless idiot sitakujibu waka kusoma post yako usijisumbue kuandika
wewe hujaenda shule nina uhakika kama shule ni ya ngumbalu , kwa heri hopeless idiot sitakujibu waka kusoma post yako usijisumbue kuandika
mazinde,kifungiro,sasa hayo malumbano ndo msaada niliohitaji wadau?mnaacha hoja ya msingi mwaanza kuonyeshana wingi wa madarasa!kha!haipendezi men!
nijuavyo mimi shule zote za wasichana zinazomilikiwa na kanisa katoliki zina maadili mazuri sana.....naamini kila mkoa zipo..kwa shule ya serikali,nashauri Weruweru ya kilimanjaro
sasa hayo malumbano ndo msaada niliohitaji wadau?mnaacha hoja ya msingi mwaanza kuonyeshana wingi wa madarasa!kha!haipendezi men!
ulikuwa unajifanya mwendawazimu kumbe una akili timamuNo huyu hafai. anyway, kuna shule nyingi za wasichana but very competitive! Marian-bagamoyo, Rosmin(co-education, at tanga, cannosian at Tegeta, Mazinde Juu-tanga, Kifungiro-tanga etc. Hizo ni nzuri mtot akipata hapo utafurahi sana kwa kila aspect-malezi, academic gains.......