shule za A level (was) zenye good perfomance.

mwl frank

R I P
Jul 11, 2011
78
27
wadau wa elimu nawaombeni majina ya shule za was A level,zenye maadili mazuri,ukiwa na contact zao ni vema sana.
 
nijuavyo mimi shule zote za wasichana zinazomilikiwa na kanisa katoliki zina maadili mazuri sana.....naamini kila mkoa zipo..kwa shule ya serikali,nashauri Weruweru ya kilimanjaro
 
wewe hujaenda shule nina uhakika kama shule ni ya ngumbalu , kwa heri hopeless idiot sitakujibu waka kusoma post yako usijisumbue kuandika
toa upuuzi wako hapa husomi post vizuri unakuja kuleta upuuzi wako amesema shule za wasichana
mpuuzi kabisa wewe
 
wewe hujaenda shule nina uhakika kama shule ni ya ngumbalu , kwa heri hopeless idiot sitakujibu waka kusoma post yako usijisumbue kuandika

sasa hayo malumbano ndo msaada niliohitaji wadau?mnaacha hoja ya msingi mwaanza kuonyeshana wingi wa madarasa!kha!haipendezi men!
 
nijuavyo mimi shule zote za wasichana zinazomilikiwa na kanisa katoliki zina maadili mazuri sana.....naamini kila mkoa zipo..kwa shule ya serikali,nashauri Weruweru ya kilimanjaro

Pia hiyo ilikuwa ya katoliki...kuna maadili pale kwadababu bado masista wapo kwenye administration..
 
sasa hayo malumbano ndo msaada niliohitaji wadau?mnaacha hoja ya msingi mwaanza kuonyeshana wingi wa madarasa!kha!haipendezi men!

No huyu hafai. anyway, kuna shule nyingi za wasichana but very competitive! Marian-bagamoyo, Rosmin(co-education, at tanga, cannosian at Tegeta, Mazinde Juu-tanga, Kifungiro-tanga etc. Hizo ni nzuri mtot akipata hapo utafurahi sana kwa kila aspect-malezi, academic gains.......
 
ulikuwa unajifanya mwendawazimu kumbe una akili timamu
 
Back
Top Bottom