Shule yafungwa Dodoma, ilikuwa na walimu 3, wanafunzi 900, wengi walikua mbumbumbu

mnaongea wee utazani uchaguzi ni kesho kumbe bado nina miaka minne ya kujidai...na mimi siajiri walimu sasa tuone...kila mahali ni deal tu alafu niajiri wengine hewa...it cant be...watch it!!!
 
Dah! Hii nchi ina mambo ya ajabu kwel, unapeleka walimu sec shule ya mcng na wkt kuna walim kbao wa shule ya mcn wapo mtaan na hawana ajra
 
Habari nzuri ni kwamba haya no kitu hakuna leo hii Tanzania...

Jumatano 💚💛💚💛💚
Magufuli oyeeeeee
 
Hyo habari ya mwaka 2017.
We kama uli apply subiri majibu
2017 juzi tu, sidhani kama kuna mabadiliko yoyote ndg yangu.

By theway, nimejitolea, zikachukuliwa taarifa zangu zikapelekwa,
Baadae pia nika apply kwa OTEAS nasubiri japo sijui kama nitapata, nishakata tamaa kabisa na sijui nikikosa mwaka huu nitakuwa na maamuzi gani tena.(MUNGU nisaidie)
 
Amen, utapata kwa uwezo wa Mungu
 
Back
Top Bottom