Cheki hii habari ya huko Dodoma.
Shule ya msingi Mbalawala iliyopo manispaa ya Dodoma imefungwa kwamuda usiojulikana na wazazi kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa walimu na wanafunzi kuwa mbumbumbu, shule hiyo ina wanafunzi 900 na walimu 3
Ni mwaka wa 2 sasa.Wavumilie mda si mlefu kuna walimu zaidi ya 7000 wanakuja kutoka sekondali