Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

Mliosoma milambo kuanzia 2005+ hamjaiona milambo nyie. Ikizingatiwa kuwa siku hizi hata umri wenu ni mdogo kwani mnakuwa below 20. Milambo ilikuwa ni shule ya wanaume enzi hizo kuna watu wenye 26+. Sitosahau mgomo wa mwaka 2001 novemba 21 kuanzia SAA nne asubuhi. Mgomo uliopelekea kufungwa kwa shule na sisi sote kufukuzwa shule. Hiyo ofic ya h/master ilichomwa moto. Majubwa alikuwa na bar pale mbele ya shule nayo ilichomwa moto na bia zikamwagwa. Second aliitwa lwabukoba. Walambo ninaowakumbuka enzi hizo ni,
John France -klf (baadae alifukuzwa)
Keybodi
Majaliwa said (cbg
Binto
Hagai
Andrew mwakisu (chair
Pale mbele ya shule kuna jamaa alikuwa anachoma chips mihogo
Sikazwe
Katondola
Jubwa

Yote kwa yote mademu ya student centre. Kiufupi, sitasahau maisha ya tabora.
 
wp_ss_20170110_0001.png
wp_ss_20170110_0005.png
wp_ss_20170110_0002.png


Teh tehe..! Milambo hamnaga wavulana ,Ni shule pekee ya secondary nchin yenye wanaume..!
 
Ila madogo wa Tabora Boys huwa wanawakimbiza sana kitaaluma.

Tatizo nini wazee?Hata Tabora Girls tu wanawashinda jamani
walamboo wamoja
MILAMBOO ni Jeshi kubwa Huwezi kulinganisha advance wa Milambo na girlzia na boyzia wao wapo wachache tunawakimbizaga ile mbaya but wingi wetu Ndio unatushusha average
Nahisi umenisoma
milambo ina michepuo 8
 
Ila madogo wa Tabora Boys huwa wanawakimbiza sana kitaaluma.

Tatizo nini wazee?Hata Tabora Girls tu wanawashinda jamani
walamboo wamoja
MILAMBOO ni Jeshi kubwa Huwezi kulinganisha advance wa Milambo na girlzia na boyzia wao wapo wachache tunawakimbizaga ile mbaya but wingi wetu Ndio unatushusha average
Nahisi umenisoma
milambo ina michepuo 8
 
Dah we jamaa umenikumbusha mbali,
Nilianza Milambo Form five mwaka 2007,
Siku yakwanza mwalimu Majubwa akapigwa risasi tukaamshwa usiku.

Wiki chache Kunajamaa tulikuwa tunalala nao Sokoine wakagombana mmoja akamkata mwenzake koromeo, dah! Hapo nilitaka kesho nihame,
Lakini baada ya mwezi nikasema hapa sibanduki.
Kuna mambo siwezi sahau
1. Tulipoibiwa meza tukauteka mji mzima wa Tabora kwa msako wa nyumba kwa nyumba, tukazipata tukataka kumuua mwizi polisi wakaingilia, kilichotokea ni vita kubwa sana.

2. Mgomo wetu wa 2008 uliomleta mama Sitta na kufanikisha kumg'oa Majubwa.

3. Kipindi tunakosa chakula tukawa tunalazimika kula mabanzi(viazi) kutoka mifukoni mwetu.

4. Tuliendesha mapinduzi yakumg'oa Malima keenye u HP, mimi nikiwa na Richard Castory(PCM), Kamanda, na wengine.

5. Nilikuwa nikisoma HGE sikuwa kumjua mwalimu wa History wala Geography wala economics two, ila mwalimu wa economics one Sotta Mbele, rakini bado nilipata One.

6. Nawakumbuka Mkupeti, FM, Peter Enosi, Malima, Matonya, Malulu, Victor Ndamgoba, nawengine wengi.
Mkupeti jah nilisoma naye kitambo
 
Kiberiti cha chachuma kimeungua
Unakumbuka ilo song likiimbwa na beat za muziki zikitolewa na vishindo vya miguu na sauti za Cha chachuma kimeungua tukitoka mwinyi uwanjani
 
Nakumbuka huu wimbo, Santiagooooo, Santiago! Chinjaaa, tukienda, Santiago, tukirudi, Chile, chile
 
walamboo wamoja
MILAMBOO ni Jeshi kubwa Huwezi kulinganisha advance wa Milambo na girlzia na boyzia wao wapo wachache tunawakimbizaga ile mbaya but wingi wetu Ndio unatushusha average
Nahisi umenisoma
milambo ina michepuo 8
ebu acha kujitekenya wewe na tuotion mbona mnakuja kufundishwa na waboyzia
 
Usifananishe tabora boys na mirambo ni vitu viwili tofauti, kwanza katika malengo ya watu wanachokifuata

1.Tabora boys wanaenda shule kusoma ili wapate vyeti, millambo wanaenda shule kujifunza ili wapate elimu


Ukiujua huo utofauti hutoifananisha milambo na shule yeyote tanzania au na A. Mashariki

Ni mwanafunzi wa Milambo pekeee anaanza kidato mpaka anamaliza hamjui mwalimu wa somo wala darasa zaidi ya mwalimu wa usafi na chakula
Lakini abaingia kwenye ushindani wa mitihani ya kitafa

Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaenza shule mpaka anamaliza shule anafanya mtihani wa mock anakujakumaliza na NECTA basi lakini matunda utayaona.


Ni mwanafunzi wa milambo pekee anaehudhuria shughuri za kijamii mf. Misiba na sherehe na kujamiiana na jamii inayomzunguka kwa kujifunza maisha halisi watu wanayoishi na yeye atakayoishi pindi amaluzapo masomo yake


Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaejua yupi ni adui yupi ni ndugu na kipi nifanye na kipi nisifanye, pia ni huyuhuyu pekeee ambaye siku zote wakiwa shule huishi kwa kuchukuliana na kuteteana kama familia, hata muwe na tofauti zenu mkiwa pale ikitokea ukafanyiwa ndivo sivyo mnaweka tofauti zenu chini mnaungana na kutoa maamuzi kwa pamoja.

MILAMBO SIO SHULE YA KAWAIDA KATIKA UKANDA HUU WA A. MASHARIKI NA KATI
wadanganyeni wasioijua
 
kuna siku alfajiri tukawa tunakimbia mchakamchaka, sasa kufika pale 4 ways karibia na mihayo sekondari, tukakutana na tabora boys nao wanakimbia mchakamchaka, dadadeki, ulitembea mkono hapo, sie tusio na nguvu vinyoya tukalala mbele kurudi shule, wababe wakanyukana, na kuna siku tena tulikutana na tabora boys nadhani lilikuwa ni kombe la mgulunde pale kazima, mechi kwisha tu ngumi zikaanza mpunga wa kazima sec wote ulilazwa chini, na kuna siku wakakosea behewa la treni tukawekwa pa1 na tabora boys, kuingia tunakuta tabora boys wametuna wanapiga story, mkono ulitembea hapo mpaka tabora boys ikabidi warudi kwa station master wakapewa behewa lingine
yaani we ni muongo mwaka gani huo labda.ubabe wa kianafunzi unaweza kuwepo ila sio eti watu wabadilishe behewa kwa ajili yenu kwanza hakukua na ujinga huo tabora ,na wakati wa safari mara nyingi tabora girls ndio walokua na mabehewa ila sio boys wala milambo na behewa la girls lilikua linajaa coz boys walikua wanaenda kutoa company hizo story za kuokota acha
 
boyz mda wote walikuwa wanawaza kusoma wanaingia disco na notes thats y girls walikuwa hawataki kuwaalika disco milambo ndo walikuwa fit angle zote eg kisoka,kutoa vibano kwa boyz nk i remember 2003,
nilisubiri atakae anza danganya kuhusu hili bifu,kwanza haukua wamilamno na boys ulikua ni milambo na girls haya anza kurekebisha ulipodamganya na elezea chanzo cha ugomvi sio ulihadithiwa unaleta story za uongo nilikuwepo so hutadanganya kitu
 
Asehh hii shule ilinishinda nimepiga songea boys miaka minne 2008 nilichaguliwa jiunga milambo Egm ila nilishindwa kabisa Yale mazingira hapana kwa kweli nilikimbia baada ya kukaa week mbili tu
 
Hii siku nilikuwepo ila milambo mlichezea nakozi si za kitoto na ile mechi ambayo mlipigana nadhan mlichezea uwanja wa vita barabara ya kazima ilikua full mawe kuna kundi liliwakimbiza boys hadi kule bomani na kundi lingine liliwakimbiza milambo mpaka. Diamond talks ilikua mguu wa shingo mguu wa roho..nimekaa tbr since 1982 i know hzo mambo

Yaaah
 
Back
Top Bottom