Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,552
kumbe wa juzi, sasa hivi milambo haina ule msisimko kama wa zamani wa miaka ya 90nilisoma hapo 2008 -2010 HKL, Nyerere no 8
kumbe wa juzi, sasa hivi milambo haina ule msisimko kama wa zamani wa miaka ya 90nilisoma hapo 2008 -2010 HKL, Nyerere no 8
Walambo wamojaa hakunaga kujuanaa ubabee kwa sana kupata nyali ilikua vitaa kati ya hao walimu kabaki zomaa katondoraa na majubwa washa tanguliaaNipo hapa nyumbani naendelea kuisogeza siku hii ya tarehe 01.01.2017.
Ghafla nikaikumbuka shule hii ya sekondari Milambo iliyopo mjini Tabora,takribani kilomita 2 tu toka kituo kikuu cha mabasi Tabora,na ipo njiani kama unaelekea Urambo,nyumbani kwa marehemu Mh. Samweli Sitta (Mungu amrehemu). Shule hii pia alisoma Mh Edward Ngoyai Lowasa, Waziri Mkuu Mstaafu wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Shule hii haina uzio (kwa sababu ni ya wanaume),na ipo karibu kabisa na mtaa maarufu Tabora uitwao Chemchemu.
Kando ya hiyo shule kuna canteen maarufu sana kwa ajili ya kununulia appetizer au chachandu umapotaka kulia NYALI au POLA.
Ni shule yenye mabweni matatu,mm nilikaa bweni la SOKOINE,floor ya kwanza.
Maji ya ile shule ni ya chumvi sana kiasi cha kuwafanya wanafunzi waende kuchota maji ya kunywa parokiani.
Nyuma ya shule upo uwanja mzuri sana wa mpira.
Waalimu ninaoweza kuwakumbuka n:-
1. Mwl Katondolaa (Marehemu)
2. Mwl Jubwa (Headmaster)
3. Mwl Zoma ( kwa fito balaa)
Nakimbuka pia kuna "Conco room",vyumba ambavyo wanafunzi hupenda kujifungia kama gheto kwa ajili ya kujisomea (hasa viongozi).
Ambavyo sitavisahau:
1. Sikuwahi kuitwa jina kwa miaka miwili
2. T-shirt zake zilikuwa kama blauzi. (ukivaa inasogea kifuani)
3. Foleni siku za nyali au ngema kwa nyama
4. Utamu wa pola (uji).
Milambo acha tu iitwe Milambo
Kwanin mkuu imekua ya kataSasa hivi imekuwa shule ya kata
Boyz wakituona wanaume wanakula chochooMilambo na vita ya Kudumu na Boys kisa mademu
Daah milambo shule yangu naipendaaAisee mimi sitoisahau hii shule. Kwani maisha yangu yote ya Advance hapo milambo hatukuwahi kufanya annual, terminal wala midterm test.
Mtihani wa kwanza kuufanya ulikuwa ni Mock, wa pili NECTA herself.
Hahahaa.
ulikutana na yule mpishi anaitwa msengi, manake ndio aliyebaki, na kumbukumbu hatari, alinifahamu kwa vile nilikuwa namuibukia mara kwa mara kwa kupata soft manake ngema wakati mwingine ilikuwa ni shida kutafunikaNimesoma hapo Advance,nilikaa bweni la Nyerere.
Hadi sasa Milambo iko vizuri,zaidi inazidi kuboreshwa,nilipata fursa ya kupatembelea hapo mwaka 2015 mwishoni.
wakati unasoma ulikuta kile choo kilichokuwa kinaitwa umiseta?Mkuu umemaliza mwaka gani hapo? Mimi nimemaliza 2008
Shule yetu nomaa aiseeeNilikuwa hapo 1993/95....nakumbuka kufanya ACSEE peke yake, hakuna mtihani mwingine..
Mkuu ulikimbiaa zaina zainaDaaah nilikuwepo hapo nikipiga PCB,yan uongoz wa shule hauna habar ni mwendo wa utawala binafsi tuu alaf watu wanapasua pepa kama kawaidaa!!!!!!.![]()
![]()
![]()
sokoine au kennedy, usinikumbushe na mie nilikuwa napiga mbonji hapo hapo, miaka ya 91-94Duuuh! Noma sana.Hata mm nlilala bweni la SOKOINE room no.5 pale
Hadi leoo Ni hivo hivoShule ya Wanaume Milambo
Vs
Shule ya Wavulana Tabora (Tabora Boys)
Enzi Hizo 🙂🙂🙂
na kyala akiwa second master ulimumkutaMie nilimaliza hapo 1983 combination ya French . Nilikuwa Kennedy no. 10. Nakumbukia Sana maembe ya kule mawiti. Maji tulikuwa tunachota Bwawa la igombe. Nakumbukia father kalumanzira wa parokia ya makokola. Classmates ninaowakumbuka ni kama Shewere, Ben Mwangonda, Felix Lubuva, Revocatus Msokane, Julius Mganga , Philip assey n.k. Mkuu alikuwa ni Mr. Msemakweli.
Ubabeee tuu tukizinguliwaHahaha. Hii shule nouma...sanaa niko nayo jiran...hpa ....vurugu dakika 0....yaan
kumbe na wewe ni mojawapo uliyegoma mwaka 93 na 94, hatimae fupa akang'okaShule yetu nomaa aiseee
Babu msengi bado yupooo anapika ngemaNmemaliza apo 2012, maji kwa muda uo tulikuwa tunachota kachelema, maisha matamu sana apo kwa pola na nyali ya mzee msangi
ila ni kweli aisee, mie nimesoma hapo form 1 mpaka 4 sijaona test, na form 5 karibia nusu darasa tukafaulu vizuri tuAisee mimi sitoisahau hii shule. Kwani maisha yangu yote ya Advance hapo milambo hatukuwahi kufanya annual, terminal wala midterm test.
Mtihani wa kwanza kuufanya ulikuwa ni Mock, wa pili NECTA herself.
Hahahaa.
kuna siku alfajiri tukawa tunakimbia mchakamchaka, sasa kufika pale 4 ways karibia na mihayo sekondari, tukakutana na tabora boys nao wanakimbia mchakamchaka, dadadeki, ulitembea mkono hapo, sie tusio na nguvu vinyoya tukalala mbele kurudi shule, wababe wakanyukana, na kuna siku tena tulikutana na tabora boys nadhani lilikuwa ni kombe la mgulunde pale kazima, mechi kwisha tu ngumi zikaanza mpunga wa kazima sec wote ulilazwa chini, na kuna siku wakakosea behewa la treni tukawekwa pa1 na tabora boys, kuingia tunakuta tabora boys wametuna wanapiga story, mkono ulitembea hapo mpaka tabora boys ikabidi warudi kwa station master wakapewa behewa lingineBoyz wakituona wanaume wanakula chochoo
milambo kuna pcb siku hizi,Daaah nilikuwepo hapo nikipiga PCB,yan uongoz wa shule hauna habar ni mwendo wa utawala binafsi tuu alaf watu wanapasua pepa kama kawaidaa!!!!!!.![]()
![]()
![]()