cc kizaz kipya cha milambo tupoo tuko form five mwaka huu mwalimu Zoma yupo Babu wa chakula yupo pia mkuu ni mwl Benny Walter sitaisahau zaina zaina form 6 walivyotutesa ucku kucha na kuambulia kufukuzwa shule baadhi yao ni hayovtu mkuu kuhusu milambo ya sasa WALAMBOOONipo hapa nyumbani naendelea kuisogeza siku hii ya tarehe 01.01.2017.
Ghafla nikaikumbuka shule hii ya sekondari Milambo iliyopo mjini Tabora,takribani kilomita 2 tu toka kituo kikuu cha mabasi Tabora,na ipo njiani kama unaelekea Urambo,nyumbani kwa marehemu Mh. Samweli Sitta (Mungu amrehemu). Shule hii pia alisoma Mh Edward Ngoyai Lowasa, Waziri Mkuu Mstaafu wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Shule hii haina uzio (kwa sababu ni ya wanaume),na ipo karibu kabisa na mtaa maarufu Tabora uitwao Chemchemu.
Kando ya hiyo shule kuna canteen maarufu sana kwa ajili ya kununulia appetizer au chachandu unapotaka kulia NYALI au POLA.
Ni shule yenye mabweni matatu,mm nilikaa bweni la SOKOINE,floor ya kwanza.
Maji ya ile shule ni ya chumvi sana kiasi cha kuwafanya wanafunzi waende kuchota maji ya kunywa parokiani.
Nyuma ya shule upo uwanja mzuri sana wa mpira.
Waalimu ninaoweza kuwakumbuka n:-
1. Mwl Katondolaa (Marehemu)
2. Mwl Jubwa (Headmaster)
3. Mwl Zoma ( kwa fito balaa)
Nakimbuka pia kuna "Conco room",vyumba ambavyo wanafunzi hupenda kujifungia kama gheto kwa ajili ya kujisomea (hasa viongozi).
Ambavyo sitavisahau:
1. Sikuwahi kuitwa jina kwa miaka miwili
2. T-shirt zake zilikuwa kama blauzi. (ukivaa inasogea kifuani)
3. Foleni siku za nyali au ngema kwa nyama
4. Utamu wa pola (uji).
Milambo acha tu iitwe Milambo
Be honest ulifaulu?Aisee mimi sitoisahau hii shule. Kwani maisha yangu yote ya Advance hapo milambo hatukuwahi kufanya annual, terminal wala midterm test.
Mtihani wa kwanza kuufanya ulikuwa ni Mock, wa pili NECTA herself.
Hahahaa.
Oyooooo unaikumbuka ile siku ngema ilikua mbichi tukaimwagaa na vuruguu hatariiiiWewe kumbe class mate wangu hapo![]()
![]()
![]()
![]()
Basi kama ni huo mwaka utakumbuka yafuatayo
1. Disco vumbi kwa wanyamwezi na akina Nkunu Elisha,
2. Samaki zilizosambazwa katika taasisi za serikali tulikula mpaka basi
3. Mbwa mkali, hapa tunajipatia kila vinavyotuhusu,
4. Safati za kwenda kachelema.
5. Siku ya miss KAMNA warambo walishiriki karibia nusu ya shule.
Wimbo wetu na hasa ukutwapo na magumu popote ukiuimba utapata mrambo tiii
""Warambo mko wapi, warambo mko wapiii.....
Kwa nguvu utasikia yeaaaaaa.....""
Tulifukuzwa siku ya mwenge baada ya kukosa mahali pa kukaaa
Aseeee nakumbuka mengi uramboni jamaniii
Zoma,
Katondolaa
Kabejaa.
Ndugu Form 14?? daah! naona Ndalichaqo haijui hii.NILISOMA PALE 1982-85, FORM 1-14, WAKATI HUO MKURUGENZI WA PPF ALIKUWA FORM 5
Be honest ulifaulu?
Tatzo la milambo lengo kuu la kilichowapeleka shule lilipotea... Wao ni wasela nondo hawajali elimu, baadhi waliokua wanajielewa walielekea tabora boys kujisomea.
Bifu la milambo na tabora boys ndio kitu kinachonogesha zaidi...
Milambo washafungwa sana na boys pale ally hasan mwinyi....
Milambo inaongoza kwa zero wakishindana na uyui, st mary na shule za kata nyingine....
Rwabukoba(second master)Nipo hapa nyumbani naendelea kuisogeza siku hii ya tarehe 01.01.2017.
Ghafla nikaikumbuka shule hii ya sekondari Milambo iliyopo mjini Tabora,takribani kilomita 2 tu toka kituo kikuu cha mabasi Tabora,na ipo njiani kama unaelekea Urambo,nyumbani kwa marehemu Mh. Samweli Sitta (Mungu amrehemu). Shule hii pia alisoma Mh Edward Ngoyai Lowasa, Waziri Mkuu Mstaafu wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Shule hii haina uzio (kwa sababu ni ya wanaume),na ipo karibu kabisa na mtaa maarufu Tabora uitwao Chemchemu.
Kando ya hiyo shule kuna canteen maarufu sana kwa ajili ya kununulia appetizer au chachandu unapotaka kulia NYALI au POLA.
Ni shule yenye mabweni matatu,mm nilikaa bweni la SOKOINE,floor ya kwanza.
Maji ya ile shule ni ya chumvi sana kiasi cha kuwafanya wanafunzi waende kuchota maji ya kunywa parokiani.
Nyuma ya shule upo uwanja mzuri sana wa mpira.
Waalimu ninaoweza kuwakumbuka n:-
1. Mwl Katondolaa (Marehemu)
2. Mwl Jubwa (Headmaster)
3. Mwl Zoma ( kwa fito balaa)
Nakimbuka pia kuna "Conco room",vyumba ambavyo wanafunzi hupenda kujifungia kama gheto kwa ajili ya kujisomea (hasa viongozi).
Ambavyo sitavisahau:
1. Sikuwahi kuitwa jina kwa miaka miwili
2. T-shirt zake zilikuwa kama blauzi. (ukivaa inasogea kifuani)
3. Foleni siku za nyali au ngema kwa nyama
4. Utamu wa pola (uji).
Milambo acha tu iitwe Milambo
Taaluma ni swala la kujitambua tu mkuuu, kuna waliosoma boyzia wana sifur na kuna waliosoma milambo wana single digitsWalambo hawawapendi waboyzia kwa sababu wanazidiwa taaluma
Kaliua boy hapa!Njile ndo yule mwalimu wa Kifaransa?Si jembe letu ni Ben Nyandigo(Big Ben)usinikumbushe enzi za fupa, dadadeki, tulimng'oa mwaka 1994 na mwalimu Mabuye akaja kuwa mwalimu mkuu akitokea kazima, RIP mwalimu Mabuye, mwanakondoo nadhani unamsema mwalimu Mwilu ndio alikuwa mwalimu wa kifaransa, mwalimu Njile yupo Kaliua shule 1 ya kata huko,
Mkuu ilikuwa 2004 walipovamia tabora girls usiku mwingi na kutoa kichapo cha kutosha nakumbuka majubwa alimwaga matusi kama hana akili nzuri Assemblyboyz mda wote walikuwa wanawaza kusoma wanaingia disco na notes thats y girls walikuwa hawataki kuwaalika disco milambo ndo walikuwa fit angle zote eg kisoka,kutoa vibano kwa boyz nk i remember 2003,