@: Shule ya Msingi - Mwisenge: What a shame

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,445
Hii ndiyo Shule aliyosoma Baba wa Taifa!

Katika moja ya News za TV juzi niliona "ripota" wa mojawapo ya TV akiripoti kutoka Musoma na suala alilokuwa akilirusha hewani ni hali ilivyo katika Shule ya Msingi Mwisenge Mkoani Mara.

Majengo ya Madarasa yame-OZA to say the least na hali ya mandhari ni kama ilivyokuwa Tabata-Dampo.

Wakuu mtaanza kubandika kuwa mbona shule nyingi za msingi zipo hivyo tu!! lakini tukumbuke hii ni shule yenye "sifa" pekee ya kumfudisha Rais wa Kwanza wa Tanganyika/Tanzania ambaye tunamwita Baba wa Taifa kwa matiki hiyo nadhani ingestahili kuwa moja ya maeneo ya kihistoria yanayotunza "Museum/National Heritage Site"

Mh. Jaji Warioba upo? Mzee Butiku Nyerere Foundation kazi yake nini hasa?

Ahka!

Nachoka kabisa
 
umesaidia nini katika kuboresha shule hiyo au uliyosoma wewe kazi kulalamika tu bila kutoa suluhisho
 
Being like that for that school is part of the history...nimekuchanganya?
 
Jamani, sio tu ku criticize bila msingi wa criticism. Nafikiri Baba Enock yuko sahihi kusema alichosema, serikali inao wajibu wa kuangalia mambo kama haya. Tukianza kuulizana wewe umefanya nini, maana yake hata barabara tunazotumia tuulizane hivyo hivyo. Serikali inao wajibu kwa raia wake, kwa kuwachagua wao kuwa viongozi wetu na stahili zinazoendana na hizo, serikali inaingia mkataba na watu wake kuwafanyia huduma za kijamii. To me, hii ina amount kwenye huduma ya kijamii. Ni mtazamo tu!
 
Ndiyo serikali lazima ilaumiwe kwa sababu tunashuhudia dhahabu inaibwa, pesa zinaibwa kutoka BOT, Mikataba mibovu tanesco, n.k.
 
Mnashangazwa na nini sasa? Kwani mlidhani mko majuu....hiyo ndiyo Afrika hiyo...
 
Back
Top Bottom