Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
imeshaboreshwa?
Nawapa pole wanafunzi, maana muda mwingi mwalimu anautumia JF badala ya kuandaa somo, kutengeneza vielelezo nk hapo hujajumlisha na siku atakazofuatilia mshahara halmashauri.....Naifahamu hiyo shule first appointment nilipangwa mitaa hiyo njia ya kwenda msata shule inaitwa Bigilo enzi hizoooooooo
Hongera kwa kununua mdundo mpya.....imeshaboreshwa?
Nawapa pole wanafunzi, maana muda mwingi mwalimu anautumia JF badala ya kuandaa somo, kutengeneza vielelezo nk hapo hujajumlisha na siku atakazofuatilia mshahara halmashauri.....
Ana heri yule aliyeyasoma na kuyaelewa maana ndiye muhusika.Si afadhali hata huyu anayeutumia muda wake JF kuliko wale wengine wanashinda vilabuni muda wote
Tatizo lako unataka picha hii isitoke. Hiki ni kielelezo sahihi kwamba "Elimu bora Tanzania inawezekana". Keep it up Mshana JrNawapa pole wanafunzi, maana muda mwingi mwalimu anautumia JF badala ya kuandaa somo, kutengeneza vielelezo nk hapo hujajumlisha na siku atakazofuatilia mshahara halmashauri.....
Tatizo lako unataka picha hii isitoke. Hiki ni kielelezo sahihi kwamba "Elimu bora Tanzania inawezekana". Keep it up Mshana Jr
Hahahahaaa....IQ yako naikubali mkuu