Shule ya Kwao na Mkulu

Shule ya Kwao na Mkulu

Ama kweli inchi yetu ni masikini na wala hatukujaliwa kuwa na mjomba wa familia mmoja
 
Naifahamu hiyo shule first appointment nilipangwa mitaa hiyo njia ya kwenda msata shule inaitwa Bigilo enzi hizoooooooo
Nawapa pole wanafunzi, maana muda mwingi mwalimu anautumia JF badala ya kuandaa somo, kutengeneza vielelezo nk hapo hujajumlisha na siku atakazofuatilia mshahara halmashauri.....
 
Si afadhali hata huyu anayeutumia muda wake JF kuliko wale wengine wanashinda vilabuni muda wote
 
Nawapa pole wanafunzi, maana muda mwingi mwalimu anautumia JF badala ya kuandaa somo, kutengeneza vielelezo nk hapo hujajumlisha na siku atakazofuatilia mshahara halmashauri.....
Tatizo lako unataka picha hii isitoke. Hiki ni kielelezo sahihi kwamba "Elimu bora Tanzania inawezekana". Keep it up Mshana Jr
 
Hahahahaaa grafani11 alikuwa anachagiza tuu BTW first appointment yangu ilikuwa way back 1992
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom